Mi naonaga Burundi na Rwanda ni mikoa tu ya Tanzania, hivi nchi inakuwaje kadogo kama vingunguti? Ni nchi gani hiyo?
Kama zenji eti nayo ni nchi na inajitutumua..Mi naonaga Burundi na Rwanda ni mikoa tu ya Tanzania, hivi nchi inakuwaje kadogo kama vingunguti? Ni nchi gani hiyo?
Pia kuna uwezekano mauaji yangekuwa makubwa zaidi kwa hao warundi kuchochea uhasama baina ya makabila mengine hasa yale yanayoishi eneo moja.Wangeungana nasi yale mauji aidha yasinge kuwa makubwa au Tanganyika kwa hekima yasinge tokea...
Yote Mungu ndio mpangaji...Pia kuna uwezekano mauaji yangekuwa makubwa zaidi kwa hao warundi kuchochea uhasama baina ya makabila mengine hasa yale yanayoishi eneo moja.
Kila jambo hutokea kwa sababu zake, pengine tumeepushwa na kubwa zaidi kwa kutoungana kwetu.
KabisaYote Mungu ndio mpangaji...
Warundi ni ndugu zetu wa damu kabisa kuliko Wanyarwanda. I love these people. Hongereni sana Warundi kwa kuadhimisha miaka 60 ya uhuru wenu.
Mwenyezi Mungu aendelee hivyo hivyo kuwajalia moyo wa kuwaona Watanganyika kama ndugu zenu wa damu. Hakika nyinyi ni watu msio na makuu, majivuno na kujimwambafai kama Wanyarwanda.

Mi mwenyewe ningefurahi sana kama nchi za Kongo na Burundi zigekuwa sehemu yetuWarundi ni ndugu zetu wa damu kabisa kuliko Wanyarwanda. I love these people. Hongereni sana Warundi kwa kuadhimisha miaka 60 ya uhuru wenu.
Mwenyezi Mungu aendelee hivyo hivyo kuwajalia moyo wa kuwaona Watanganyika kama ndugu zenu wa damu. Hakika nyinyi ni watu msio na makuu, majivuno na kujimwambafai kama Wanyarwanda.
Ndio maana wakoloni Wajerumani wazichanganya na Tanzanyika wakaita German Ostafrica.Mi naonaga Burundi na Rwanda ni mikoa tu ya Tanzania, hivi nchi inakuwaje kadogo kama vingunguti? Ni nchi gani hiyo?
I'll nasiki Ni wauaji snaWarundi ni ndugu zetu wa damu kabisa kuliko Wanyarwanda. I love these people. Hongereni sana Warundi kwa kuadhimisha miaka 60 ya uhuru wenu.
Mwenyezi Mungu aendelee hivyo hivyo kuwajalia moyo wa kuwaona Watanganyika kama ndugu zenu wa damu. Hakika nyinyi ni watu msio na makuu, majivuno na kujimwambafai kama Wanyarwanda.
Ni baadhi yao tu wanaosumbuliwa na ugumu wa maisha.I'll nasiki Ni wauaji sna
Unajua ukubwa wa nchi Singapore ni kmsq 728.6 tu (yaani Mia saba ishirini na usheee hapo, hawana hata kilomita za mraba buku? Na population Yao Ni watu mil 5.6 huku GDP Yao Ni $340bil.Mi naonaga Burundi na Rwanda ni mikoa tu ya Tanzania, hivi nchi inakuwaje kadogo kama vingunguti? Ni nchi gani hiyo?
Burundi kmsq 27,834 km² vs Singapore kmsq 728.6 km²Kama Kuwait na Qatarila hizo tajiri
Tena Burundi ni kubwa kuliko Kuwait
Ingekua ikifika saa 11 jioni tu highway hazipitiki, jamaa wako wameweka magogo road wanateka magari tu. Ndio mambo wayapendayo hayo.TUngeteseka sana kweli tungekuwa na mafurushi hadi leo kama burundi hawajui awataenda wapi.