jani
JF-Expert Member
- Aug 8, 2011
- 927
- 1,154
Sawa nimekupata, lakini issue ya UPSIDE DOWN hujaiongerea bro
mkuu, ulimwenguni hamna up wala down generally... ila kuna up and down with reference to gravitational pull...vitufe (sayari,miezi) vinavyo zunguka vinawavuta watu kuelekea katikati yake(centres) hivyo kuwafanya wapate "impression" kwamba wanavutwa kuelekea chini ......
kuhusu infinity...
kwa vifaa na ujuzi uliyopo, hatujaweza kudhibitisha ukomo wa ulimwengu.... maana hata mwanga wa jua ambao ndio the gratest source of energy ukisafiri haurudi (kuwa reflected) popoe huko mbele kiasi cha kudhibitisha huo ukomo,,,hii inafikia kiasi cha wataalam kusema " there are only two things that are infinity in this world! human stupidity and the universe!"...hahahahah


