Kumbe ni tabia yako siku ile nilipokualika mkaja watano nilidhani bahati mbaya,mzima lakini ?ongezea na azam cola mlo unoge! Nitakuja na wananchi wangu wa mpwapwa nishawahamasisha.
Kumbe ni tabia yako siku ile nilipokualika mkaja watano nilidhani bahati mbaya,mzima lakini ?ongezea na azam cola mlo unoge! Nitakuja na wananchi wangu wa mpwapwa nishawahamasisha.
baby ahsante kwa kutujulisha. Mi nilikunywa mara moja sijarudia tena maana harufu iliniboa. Mi na azam cola tu full utamu.Niwatahadharishe kuwa kinywaji cha malt cha Azam ni madawa tu hamna hata chembe ya malt au kitu chochote natural ni makemikali tu,.

Kumbe ni tabia yako siku ile nilipokualika mkaja watano nilidhani bahati mbaya,mzima lakini ?
habar bwana m2 chake, mi cna taarifa zozote za kufungiwa kwa azam cola, ila shida yangu nomba unielekeze jinsi ya kuanzisha topoc, chonde nakuomba
kwanza haina cola yoyote, ile ni maji ya sukari iliyokaangwa ikawekwa carbon bei mia 700/= . haina thamani hata ya jiti

afadhali, bora mtu aninyime vyote ila azam cola anipe.
sawa mkuu..ila mtaani zilivuma sana hizi story...ndio maana nashangaa...juzi nilinunua kwa mia 700..[/QUOTE]
Mie pia nimejaribu kufuatilia bei halisi hiyo inayosemwa ya Tshs 500/= na kila nilipouliza Azam Cola inauzwa kwa Tshs 700/=......Kama walifanya kikao na hao washindani wao (watengenezaji wa Coke na Pepsi) basi yaweza kuwa haya ndio matokeo....