Ni kweli Azam Cola imepigwa marufuku

Niwatahadharishe kuwa kinywaji cha malt cha Azam ni madawa tu hamna hata chembe ya malt au kitu chochote natural ni makemikali tu,.
baby ahsante kwa kutujulisha. Mi nilikunywa mara moja sijarudia tena maana harufu iliniboa. Mi na azam cola tu full utamu.
 
Kumbe ni tabia yako siku ile nilipokualika mkaja watano nilidhani bahati mbaya,mzima lakini ?
<br />
<br />
mpenz haya mambo ya maana lazima uwaalike watu. Ile rule ya kizuri kula na nduguyo hapa ndio applicable.lol! Usikose na wewe.
 
habar bwana m2 chake, mi cna taarifa zozote za kufungiwa kwa azam cola, ila shida yangu nomba unielekeze jinsi ya kuanzisha topoc, chonde nakuomba
 
Mbona zimejaa tele mitaani. Azam cola kama kawaida. Raha tupu.
 
kwanza haina cola yoyote, ile ni maji ya sukari iliyokaangwa ikawekwa carbon bei mia 700/= . haina thamani hata ya jiti

wabongo bwana yani badala ya kumpa support huyo mchizi ambae ni mbongo mwenzenu tena tax payer mzuri mnampiga madongo mnaziponda drinks zake mnashobokea drinks tax payers wa south africa na dubai,huo ni upuuzi...nasikia siku hizi huko nyumbani bongo hata matunda ya wakulima wa kibongo hamyataki mnataka ya wakulima wa south africa!!

All in all watu wa dizaini ya Bakhresa wanapaswa kuungwa mkono sana,unajua bakhresa kwa kile kiwanda chake cha juice mbagala anawasaidia wakulima wangapi wa matunda kule Lushoto kupata soko la uhakika la matunda yao ambayo pengine yangeoza na kutupwa tu?

Wapenda soka pia wanaujua mchango wa bakhresa kupitia timu yake ya soka ya azam fc,anarudisha kile mnachompa kwa jamii kwa njia mbalimbali kama hizo.Aungwe mkono,asipigwe vita kama mabasi ya scandinavia mpaka yakafa sasa hivi nasikia kuna mabasi ya wachina na akamba la wakenya!
 
Hii Azam Cola sijui ina nini? Nimekunywa mara tatu lakini nimegundua jambo hili; dakika chache toka kunywa utajisikia kuwa active (stimlated to be so), baada ya dakika kama 20-30 utajisikia uchovu wa ghafla na a certainy kind of discomfort.
 
sawa mkuu..ila mtaani zilivuma sana hizi story...ndio maana nashangaa...juzi nilinunua kwa mia 700..[/QUOTE]

Mie pia nimejaribu kufuatilia bei halisi hiyo inayosemwa ya Tshs 500/= na kila nilipouliza Azam Cola inauzwa kwa Tshs 700/=......Kama walifanya kikao na hao washindani wao (watengenezaji wa Coke na Pepsi) basi yaweza kuwa haya ndio matokeo....
 
Mmh...Mi naangalia tu ujazo na urahisi wake wakukibeba na kunywea popote!
Azama kwa hii drink wamejitahidi sana
 
Habari hii Niliipata karibu Mwezi wa Nane Mwanzoni kuwa Azam wamesimamisha production Sababu wameishiwa Malighafi za kutengenezea Azam Cola Kuna Duka la Rafiki yangu aliambiwa na wahusika wenyewe kuwa Azam Cola ilikuwa ni kwa majaribio tu na ilianzwa kutengenezwa kwa majaribio ya Miezi sita tu bahati nzuri biashara a majaribio imekwenda vizuri sana na kwa tamaa ya Backresa alipoona imeanza kutoka fresh akaipandisha bei week ya kwanza tu.

Haya majaribio ya miezi sita yamekwenda kwa kasi sana na hii malighafi imemchukua Bakhresa zaidi ya miaka miwili kuipata na kuizindua kaisotea sana na ameahidiwa atapata malighafi nyingine Dec 2011 so kwa wale walioipenda endapo wauzaji wa rejareja wakimaliza stock yao basi wategemee de huko baada ya x mass.

FF atakuwa amesikitishwa na habari hii nampa pole kwani adui wake Mengi ataendelea na biashara kama kawaida.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom