Ni kweli asali na limao vinafanya iwe 'ndogo'?

"Ajua" usije kujaribu pilipili mbuzi wala kichaa yatakayotokea mimi simo. On a serius note hayo yote ni maumbile tu, ingawaje operasheni inaweza kufanyika kurekebisha tatizo hilo.
 
Sikuzote maumbile ya asili ni bora kuliko hivi vya fojari.kwanini wahangaika?dunia haina jema hata kidogo,leo utataka uke uwe taiti kesho utataka makalio yaongezeke na kesho kutwa utataka lingine.Ridhika na jinsi ulivyo,cha msingi ni kumpata wa kukupenda kwa dhati na akupende jinsi ulivyo..
 
Sikuzote maumbile ya asili ni bora kuliko hivi vya fojari.kwanini wahangaika?dunia haina jema hata kidogo,leo utataka uke uwe taiti kesho utataka makalio yaongezeke na kesho kutwa utataka lingine.Ridhika na jinsi ulivyo,cha msingi ni kumpata wa kukupenda kwa dhati na akupende jinsi ulivyo..

safi sana GS. happy women's day
 
Asante sana Mkuu..tupo pamoja.

unajua GS, sijui huyu pepo aliyeingia sasa hivi lakini hizi insecurties zinatupeleka pabaya

kuanzai macelebs, huko majuu, ndo cosmetic surgeries, huku tunahangaika na wachina wetu, mara hii imenenepesha uume, mara hii sijui inatakiwa ifanye kidude kiwe tait, mara makalio yawe makubwa etc

kwani utamu wa pipi si mate yako? dah
 
sasa iwe taiti ili iweje? anyway i dont have no clue on this one, lets wait for experts

Halafu Asali + limau aint it flammable down there?...
Ahahahaha this made my day.... just flammable???? mmmnh think its 'corrosive' ahahahha
 

and u dont need an instructor or to sign up with a fitness club...done at your own comfort and convinience...even when your boss is rubbing you the wrong way....ahahhaha u get to do something for yoself!:D
 
Ni kweli Birigita, Unataka kuitaiti ili iweje? wengine tunapenda mlegezo ili zana zisipasuke.
Big up mkuu.
Tumeambiwa kwamba usalama wetu waweza kuwepo kama unapiga game live na kukawa hakuna michubuko basi usalama upo, sasa leo wewe unataka taiti maana yake umechoka amani unataka endless problems, are we serious?
 
Back
Top Bottom