Ni kweli Anna Makinda ni 'Mbabe'?

Ni kweli Anna Makinda ni 'Mbabe'?

mwaka huu! Yangu macho na masikio! Bdo kidogo na mimi ntaomba mwongozo huku Jf manake nahsi nachanganykiwa na hil bunge la Makinda!
 
kama cdm ilitamkwa na huyo mb wa nkasi basi anapaswa kuwajibishwa!
 
ebu ona sasa ati kuna mbunge wa kike kaomba mwongozo mbunge mwenzie wa kike yuko nje ya mada, big up spika kama kawa kampotezea
 
...nimeishuhudia hiyo. Haijakaa vizuri. Ningefurahi km Lema angeomba tena mwongozo kwa SPIKA ANAESEMA UONGO, KWAMBA KESSY HAJAITOLEA MANENO MABAYA YA KUIFADHAISHA CHADEMA! Maswali yangu mawili:
1. Seriously, kutokana na mwelekeo wa mambo (ccm vs cdm, cdm vs cuf, ukweli-fisadiz vs uongo-uzalendo), tutegemee fairness yoyote bungeni, na hata serkalin?

2. Kwa kuwa mama huyu aliteuliwa na ccm kwa kigezo cha kuwapa fursa wanawake,
je, matendo yake yanapeleka msg gani kwa wapigania haki za wanawake kwny nafasi mbalmbal?

Tulijadili kisiasa, si kimahaba na kizandiki. Tukitukana hawaskii, hatujisaidii!
 
Hivi Mama Spika anapomuomba waziri ajibu kwa kifupi sana huwa anamaanisha nini?
Binafsi naona maana yake ni kuwa ama waziri ajibu haraka kwa sababu muda ni kidogo, au waziri ajibu kwa kufunika hata asipoeleweka au swali lililoulizwa ni la kipuuzi hivyo waziri aburuze tu na atalindwa.
Naomba mchango wenu tafadhali.
 
What goes around comes around....

Huyu Spika anafurahia sasa hivi chadema wakitukanwa, hii itazoeleka na next time itakuwa ni cuf, nccr watakaotukanwa na mwisho wa siku ccm wenyewe watakuwa wanapashana vijembe!

Sijui ikifikia huko huyu mama atafanyaje?
 
mama anadhihirisha si kila kitu inabidi kuwa na haki sawa kn viti vingine lazima viongozwe na wanaume jasiri wasioegemea upande wowote km Sita alivyofanya,kanawadhalilisha wanawake wenzake kuwa hawawezi kuongoza sehemu zenye challenge kama bunge,iko siku katakuja tunakana mbunge kama mbunge naye atakua ngangari na kumtolea uvivu,brazil wabunge walishatwangana ngumi wakiwa bungeni kutokana na udhaifu wa spika ss nahisi ndo kanatupeleka huko
 
Ndo anachomaanisha,yeye kwake mradi mtu kajibiwa,ubora au usahihi wa majibu yeye haumhusu,anachotaka ni mtu ajibu chochote,in short anakera na sioni busara yake kwenye hilo!
 
Hili bunge ni la mipasho tu sioni cha maana wabunge wa chama tawala wanachofanya. wale wa CHADEMA peke yake ndo naona sasa wanaongelea maslahi ya taifa lkn CCM wakiongozwa na bibi kizee Spika analeta longolongo kibao tu
 
Fareed nakuhakikishia ukitaka spika afate hiyo miongozo ya kipuuzi kila uchao bunge halitafanya kazi yake.
Si kwa wabunge wa cdm wala ccm wote wamekuwa na kukamiana kusiko na msingi, wabunge wamefikia hatua wanasikiliza wenzao sio kwa umuhimu wanaosema ila watateleza wapi ili waombe mwongozo. bunge haliwezi kuendeshwa kwa miongozo bana, spika anamamlaka ya kupima na akiona ni kupoteza muda anaipotezea

Hapana mkuu kamaumegundua bunge hili limekuwa ni la kusigana sasa spika alitakiwa kuliona mapema na kulitolea tamko mapema akijua hali halisi nimarufuku kupigana vijembe na atakaye bainika atapata adhabu za kikanuni sasa yeye anasubiri mpaka aliyepigwa kijembe ndiyo ariact tena kwa kupendelea upande mmoja sasa inaonekana wabunge wameshajua ni dhaifu so wanaendeleza vijembe kwa kwenda mbele
 
mi yangu macho,badonaangalia nione mwisho wao,lisije kuwa kama bunge la somalia
 
Fareed nakuhakikishia ukitaka spika afate hiyo miongozo ya kipuuzi kila uchao bunge halitafanya kazi yake.
Si kwa wabunge wa cdm wala ccm wote wamekuwa na kukamiana kusiko na msingi, wabunge wamefikia hatua wanasikiliza wenzao sio kwa umuhimu wanaosema ila watateleza wapi ili waombe mwongozo. bunge haliwezi kuendeshwa kwa miongozo bana, spika anamamlaka ya kupima na akiona ni kupoteza muda anaipotezea

kwa mtazamo wako kauli ya mh. Kessy ni sahihi?acha mambo yako bwana.heshima iwepo pande zote.jana mtu kaomba kushauriwa how to deal na jitu linalodanganya bunge kaambiwa aandike report ila leo chama kizima kimekashfiwa ipotezewe kama haijatokea.ushabiki bwana!!!!!
 
Angalia kwa umakini jina la mbunge na jimbo alilotoka - Mbunge Ally Mohamed Kessy (Nkasi Kaskazini kupitia CCM).
 
Mbunge huyo wa CCM alisema Bungeni kuwa anashukuru "hakuchaguliwa kwa tiketi ya CHADEMA kwani ingekuwa kashfa kubwa."



Spika Anne Makinda kama kawaida yake kwa kutaka kutumia udikteta ili kuficha udhaifu wake wa uongozi akamtetea mbunge huyo wa CCM na kudai eti hakuitaja CHADEMA na kumwambia Mdee akae chini.

Hizo kauli mbili mbona zinapingana? Mbona ameitaja CHADEMA live? Au makinda hakumsikia vizuri huyo mbunge wa CCM.
 
sasa wewe unategemea nini kwa mtu aliyekuwa beki tatu kuja kupewa uspika
 
Huyo mama kila siku anamapya.anatudhalilisha wanawake tunaonekana hatuwezi kumbe kichwa maji ni peke yake
 
ccm wanataka kujenga mazingira ya machafuko Tz wakidhani yatachelewesha kuong'oka kwao. Ole!
 
Back
Top Bottom