Ombudsman
JF-Expert Member
- Apr 18, 2012
- 3,565
- 3,729
Mie huitwa mtus kwani Nina pua na shingo lefu, nywele singasinga, midomo meusi meno meupe, shape Mmmh, ni mrefu kabisa, na ni legelege kama wao.
Leta picha.
Mie huitwa mtus kwani Nina pua na shingo lefu, nywele singasinga, midomo meusi meno meupe, shape Mmmh, ni mrefu kabisa, na ni legelege kama wao.
Mamah ha! Watoto wa darisalamaaa bonaki hiyo,Mie huitwa mtus kwani Nina pua na shingo lefu, nywele singasinga, midomo meusi meno meupe, shape Mmmh, ni mrefu kabisa, na ni legelege kama wao.
We ni me au ke sababu hata mimi ninapitia maswahibu hayoMie huitwa mtus kwani Nina pua na shingo lefu, nywele singasinga, midomo meusi meno meupe, shape Mmmh, ni mrefu kabisa, na ni legelege kama wao.
Mmh unamaanisha nini mshanaUtafikiri wamepakwa rangi ila wake ndani wekunduu
Wake-wanawakeMmh unamaanisha nini mshana
Dar Idara ya uhamiaji ni wakali mnoIla mimi kinachonishangaza unakuta mtu anaetokea mathalani kagera, kigoma au tabora akiwa huku mjini dar anajiita mimi ni muhaya mwingine muha mwingine mnyamwezi au msukuma hapendi kusema mimi ni mtusi kabisa.
Ila ukimkuta kwao mathalani kigoma ,mwanza, tabora kagera anakwambia mimi ni mtusii bana
Ha ha ha wekundu???!!!Wake-wanawake
tabora watusi wengi sana,tangu enzi za mababu,walikuwa wafanyakazi wa mashambani kipindi cha mavunoDuu kipindi nipo tabora kuna vijiji na maeno yanaitwa UTUSINI .
wakija wenyeji wa tabora mtatufafanulia zaidi
wajipa promo yakhe!!!Mie huitwa mtus kwani Nina pua na shingo lefu, nywele singasinga, midomo meusi meno meupe, shape Mmmh, ni mrefu kabisa, na ni legelege kama wao.
kwa kihutu ni matusheWanaitwa Watutsi sio Watusi
SanaHa ha ha wekundu???!!!
Mwanamke mweusiiiiiiiWe ni me au ke sababu hata mimi ninapitia maswahibu hayo
No. Nimekoment tu kawaida. Si kwa nia hio.wajipa promo yakhe!!!
Kwani wengine hutumia kigezo gani kutambuana?katika kutembea kwangu hapa africa mashariki sijawahi kukutana na KABILA LA WATUSI wala kusikia mtu akizungumza KITUSI ikiwa lugha mama kama vile kihaya, kisukuma, kimakonde, kilugulu na kadhalika ?
Lakini kuna watu wanajiita sisi ni WATUSI NA itikadi hizi zipo haswa nchi kama vile rwanda,burundi, congo,uganda na tanzania.
Hapa kwetu tanzania ukifika mikoa kama vile kigoma, kagera, tabora, mwanza na hata shinyanga.
Unakuta mtu anakwambia mimi kabila langu ni MUHAYA AU MUHA ila asili yangu ni MTUSI kisa macho na pua ndo kigezo chao kikubwaaa.
JE NI KWANINI KIGEZO HIKI HUTUMIKA KATIKA WATU HAWA KUFAHAMIANA?
Ufafanuzi hapo kwenye ndani wekunduUtafikiri wamepakwa rangi ila wake ndani wekunduu
hivyo hivyoUfafanuzi hapo kwenye ndani wekundu