Ni kwanini watusi hutumia kigezo cha "pua na macho"kutambuana?

Jun 6, 2017
19
45
Ni kweli so Watusi Bali watutsi ukihiwa kutokua mtanzania in ngumu kuelezea pasipo shaka uraia wako kwani kuzaliwa tu si kigezo cha uraia yalinikuta nilitumia vipengele Vingi vya sheria kuthibitisha na kupoteza muda mrefu
 

Akili Unazo!

JF-Expert Member
Feb 18, 2009
3,544
2,000
Ila mimi kinachonishangaza unakuta mtu anaetokea mathalani kagera, kigoma au tabora akiwa huku mjini dar anajiita mimi ni muhaya mwingine muha mwingine mnyamwezi au msukuma hapendi kusema mimi ni mtusi kabisa.

Ila ukimkuta kwao mathalani kigoma ,mwanza, tabora kagera anakwambia mimi ni mtusii bana
Dar Idara ya uhamiaji ni wakali mno
 

Kididimo

JF-Expert Member
Sep 20, 2016
3,310
2,000
katika kutembea kwangu hapa africa mashariki sijawahi kukutana na KABILA LA WATUSI wala kusikia mtu akizungumza KITUSI ikiwa lugha mama kama vile kihaya, kisukuma, kimakonde, kilugulu na kadhalika ?

Lakini kuna watu wanajiita sisi ni WATUSI NA itikadi hizi zipo haswa nchi kama vile rwanda,burundi, congo,uganda na tanzania.

Hapa kwetu tanzania ukifika mikoa kama vile kigoma, kagera, tabora, mwanza na hata shinyanga.

Unakuta mtu anakwambia mimi kabila langu ni MUHAYA AU MUHA ila asili yangu ni MTUSI kisa macho na pua ndo kigezo chao kikubwaaa.

JE NI KWANINI KIGEZO HIKI HUTUMIKA KATIKA WATU HAWA KUFAHAMIANA?
Kwani wengine hutumia kigezo gani kutambuana?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom