nguzo1
JF-Expert Member
- Jul 30, 2015
- 355
- 582
Hapo Pangadeco, Pangani mjini hadi usawa wa Boza junction kote huku patakuja funikwa na maji ya bahari ndani ya miaka kumi ijayo.Maeneo gani, bei zinategemea na eneo.
Kwa Pangadeco, Bweni,Kikokwe na Ushongo bei utayotajiwa inaelekea na viwanja vya Dar.
Kama pesa ipo unaweza ukawavua mpaka wazungu/waswahili wenye maeneo Ushongo Beach club.
Hilo eneo lote ni water Logged na mvua ikinyesha kidogo tu ardhi inashiba maji ndani ya masaa machache.
Sehemu salama( High altitude area) ni kwanzia huku kwa Mkuu wa wilaya, Tongoni,Kigombe hadi Tanga au Maeneo ya Mwera, kipumbwi ,makorora na mkwaja.


waakawa wanamtukana yile baba na kusema vibaha ghorofa lake. Nyumba ya wale ndugu zangu ni ya chini lakini kali mno. Nikisema kali ninkali. Sasa yule baba kwa hasira mwenye ghorofa akawaambia " sasa mnaongea nini wakati gharama ya nyumba yenu yote ndo msingi wa ghorofa yangu?" Nilishangaa sana watu wakanielekeza bado sikuelewa. Nilaja kufatilia kbs kwa wahusika wa kada hiyo. Na nikaona wanaojenga. Aisee... inafika. Nimeshuhudia kbs. Basi hapa namm najiliwaza nitajenga langu siku tuu