Ni kwanini mahandsome wanapendwa sana na wadada?

Ni kwanini mahandsome wanapendwa sana na wadada?

U handsome bila hela sikuhizi ni sawa na kunywa chai bila sukari hata nyuki hatui.. utafubaaa cheo kitashuka toka kwenye u handsome mpk utasikie wanakusema "yule kaka kakaa kama insyuka"[emoji23][emoji23]

Mkuu tutafute hela mengine tutayakuta huko mbela ya hela.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]God sees this!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unakuta hadi wake za watu macho 😍😧🙀 kwa mshangao mkaka ambaye nihandsome akipita.
Au akiwa mgahawani au mahala popote macho hushtuka na kutamani huyo mkaka hata kaka ni lofa .
WhyView attachment 1412936
Ukiwa handsome ata ukipenda hauaminiki-inauma sana

Unakuwa mtu wakutumiwa na kucheleweshwa kwa ndoto zako.

U-handsome una hasara nyingi kuliko faida
Na hasara kubwa zaidi ni umaskini.
 
Back
Top Bottom