Naitikia kwa Niaba yaoUmeongea kwa hisia sana,bila shaka wewe ni handsome eeh,polee
Kwani Hujawahi kuhiona bibie financial ?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3], wee mlevi wewee, sura ya tofali? Dah
Mmmh ,Wanavutia yani unaweza toka nae kwenda popote bila kuona aibu kutambulisha kua yeye ndo wako
Kwa sababu wanakula tunda kimasiaraUnakuta hadi wake za watu macho 😍😧🙀 kwa mshangao mkaka ambaye nihandsome akipita.
Au akiwa mgahawani au mahala popote macho hushtuka na kutamani huyo mkaka hata kaka ni lofa .
WhyView attachment 1412936
hata karantiiiniiiiiii?Wanavutia yani unaweza toka nae kwenda popote bila kuona aibu kutambulisha kua yeye ndo wako
Yes unaweza jipeleka na kujilipiahata karantiiiniiiiiii?
Kwa sababu wadada mnapenda wale wa kupigia pichaUnakuta hadi wake za watu macho 😍😧🙀 kwa mshangao mkaka ambaye nihandsome akipita.
Au akiwa mgahawani au mahala popote macho hushtuka na kutamani huyo mkaka hata kaka ni lofa .
WhyView attachment 1412936
😅😅😅 lol