Mkuu hujafafanua vizuri unamzungumzia komando yupi, maana kuna KOMANDO Ledi Jei Dii, KOMANDO Hamza kalala na KOMANDO Kipensi
Mkuu hujafafanua vizuri unamzungumzia komando yupi, maana kuna KOMANDO Ledi Jei Dii, KOMANDO Hamza kalala na KOMANDO Kipensi
Lengo langu ni kuelekea hukohuko katika kutolea ufafanuzi hicho ulichokiwasilisha hapa lakini kabla ya hilo nimependa kuuliza kwanza swali hilo kiutafiti ndiposa tuelekee katika ufafanuzi.Kama unaona Mada ni nzito Kwako kutokana na aina ya Ubongo Tofali ulionao tafadhali waachie walioielewa Wachangie ili nawe Ujifunzie hapo.
Kwenye vijiwe vya kahawa kuna watu wanajua afu unakuta wamehadithiwa sasaWE UMESKIA WAPI?IN BWEGE VOICE
Unaona ni upuuzi kwa sababu umesoma kipuuzi. Ungesoma kwa nia ya kutaka kuelewa ungejua nini namaanisha.Ndiyo umeandika Upuuzi gani huu?
Unaona ni upuuzi kwa sababu umesoma kipuuzi. Ungesoma kwa nia ya kutaka kuelewa ungejua nini namaanisha.
Majibu ya namna hii yanafanya watu wapuuzie uzi wako mkuu, tupingane kwa hoja..mbona jamaa anareply kwa hekimaContent ya Kipuuzi na iliyotoka pia kwa Mpuuzi inaweza ikaeleweka kwa Mwerevu / Kipanga? Yaani najilazimisha Kukuelewa bado nashindwa tu.
Huyo ni mtu mmoja, huwezi kuwa afisa usalama kama sio komando, kwaiyo unazungumzia mtu mmoja katika kazi tofauti kama ffu na traffic police

Kakwambia nani?Nimesikia mahala kuwa COMMANDO (si lazima awe wa Tanzania) ana uwezo wa kupata taarifa nyeti hata kuliko Mwana Usalama Taifa mwenyewe. Kwa mfano; COMMANDO wa Malawi anaweza akaenda nchini Zimbabwe katika maeneo yao muhimu na akapata akitakacho na wala asishtukiwe, lakini kwa Usalama wa Taifa wa Malawi anaweza kwenda ila atagundulika kwa haraka sana tu.
Wajuvi wa haya Masuala mliojazana hapa Jamvini JamiiForums, karibuni mtuelimishe na sisi akina Mzukulu ili nasi tuwe na Maarifa kama nyie pia.