Ni kwa muda gani Jicho la Tatu linafunguka kabisa?

tutuberti

JF-Expert Member
Apr 26, 2023
403
590
Wadau habari zenu, Wadau mbali mbali wanaoamini katika nguvu za jichola tatu habarini.

Nimekuwa nikisoma articles mbalimbali humu zihusuzo ufunguzi wa hili jicho la tatu, yaani third eye awakening. Kuna wengine wanaita kundalin awakening.

Sasa nilikuwa na maswali machache kuhusiana na mada hii;

~ Ni kwa muda gani jicho la tatu kinakuwa opened completely?

~ Je, likishafunguliwa ni vitu gani vinaeza pelekea kujifunga tena?

~ Na hili jicho la tatu likiwa linafunguliwa ni nini dalili za mwanzo za mwili wa mhusika na dalili zipi niza kiroho? Pia ni dalili zipi niza kiakili?

~ Likishakuwa opened ni vitu gani special unaona? Katika ulimwengu upi?

Hayo ni maswali mengi watu wamekua wakijiuliza including me.

Kwa machache niyajuayo;

~ Kifupi jicho la tatu linaweza mpaka kufika mwaka mmoja ndipo likafunguka, ni shughuli ngumu kidogo.

~ Viongozi wakubwa wote mashuhuri duniani unaowajua, have their third eyes opened, usiulize kwa nini.

Mengine mengi ambayo nami siyajui, nakaribisha wajuvi au wale wenye uzoefu hata kidogo waje kumwaga vitu.

Binafsi one and only thing I've achieved is entering into somebody and time travelling, only thay, ila na ujanja wangu huu wote I dont know how to open third eye.

Welcome to the new order.
 
Kabla hujafika kwenye Jicho,inakupasa uanze kwanza kwenye msingi. Kufungua jicho la tatu ni stage ya mwisho kabisa.

Kuna chakras saba, hiyo chakra ya saba ndiyo jicho la tatu. hivyo kabla hujaifikia unatakiwa uwe umetengeneza kwanza hizi chakra za mwanzo.

Hapo chini ni mtiririko wa hizo chakras👇

The 7 main chakras as they appear in the body are:
  • Muladhara Chakra – Root Chakra.
  • Svadhishthana Chakra – Sacral Chakra.
  • Manipura Chakra – Solar Plexus Chakra.
  • Anahata Chakra – Heart Chakra.
  • Vishuddha Chakra – Throat Chakra.
  • Ajna Chakra – Third Eye Chakra.
 
Intel zaidi siyo ki raia raia, mfano unamwangalia mtu na kumujisi ana miraaa na una msimamisha kimpekua na kimkuta nayo yaani saikolojia sana wakuu
Umegusia nimekuelewa kidogo... only that? So unafungua third eye halafu uwe na machale ili ikusaidie nn sasa?? Hayo machale yataleta chakula ndani? Km ni hivyo third eye is quitely unimportant
 
Kabla hujafika kwenye Jicho,inakupasa uanze kwanza kwenye msingi. Kufungua jicho la tatu ni stage ya mwisho kabisa...
Birget ahsante sana kwa kujitolea kwako huku... ahsante kwa nondo hizi zilizotukuka
 
Wewe unazungumzia finishing ya nyumba hata kabla ya kujenga msingi imara wa hyo nyumba..

Root chakra ni msingi,na ndiyo base..huko kwenye third eye opening ni kama finishing tu.
Mkuu sasa hujagusia hata kidogo how hizo chakra za chini zinafunguliwa,how? Zinafunguliwaje?
 
Mkuu sasa hujagusia hata kidogo how hizo chakra za chini zinafunguliwa,how? Zinafunguliwaje?
Ni somo pana mkuu,Mungu akijaalia nitaweka hapa mada siku moja. Kwa kifupi ni kwamba Kufungua chakra ya kwanza mpaka ya 7 ni kwa kufanya YOGA ama MEDITATION. hakuna shortcut nyingine.

utaelezwa namna utakavyo anza kufeel chakra moja baada ya nyingine ikiwa inafunguka.
 
Kabla hujafika kwenye Jicho,inakupasa uanze kwanza kwenye msingi. Kufungua jicho la tatu ni stage ya mwisho kabisa.

Kuna chakras saba,hiyo chakra ya saba ndiyo jicho la tatu. hivyo kabla hujaifikia unatakiwa uwe umetengeneza kwanza hizi chakra za mwanzo...
Maelezo zaidi hapa
 
Wadau habari zenu, Wadau mbali mbali wanaoamini katika nguvu za jichola tatu habarini.

Nimekuwa nikisoma articles mbalimbali humu zihusuzo ufunguzi wa hili jicho la tatu, yaani third eye awakening. Kuna wengine wanaita kundalin awakening...
Yaani mitandao imeleta maajabu,

Yaani unaomba Kufundishwa uchawi hadharani?

Jicho la Tatu ni jicho la Shetani, ni mlango wa kuingia Ulimwengu wa Roho Kwa njia ya GIZA.

Mwamini YESU upewe Roho mtakatifu.

Aliye na Roho mtakatifu ana MACHO ya Rohoni. Macho yanaona zaidi kuliko jicho moja la msaada wa Shetani.

Angalizo; Ukifanikiwa kuwa MCHAWI , kuiona Mbingu ni almost impossible, kuacha uchawi ni jambo gumu sana.

Amen
 
I don’t know if there is a single answer for this..but I’ll tell you what I know😊

Not to demotivate you.. it's not as easy as we say to open your third eye..Have to work many things emotionally to handle the things that you see after opening it

First from basic you've to work on energyworks and how to control energy with mind..then to make your body a good capacitor for energies..simply have to make your body first to adapt for energy and consciousness ie Shiva and Shakthi respectively🐒

Try Ashtanga yoga😊 make your body flexible and strong by Yoga and practise meditation

And slowly open your chakras and the Fifth chakra is the Third eye chakra you'll open it after practise..😊You can open by many means but the emotional and mental breakdown might feel very dangerous if you mess it up.. Be cautious and move slowly😊😊👋👋👋
 
I don’t know if there is a single answer for this..but I’ll tell you what I know

Not to demotivate you.. it's not as easy as we say to open your third eye..Have to work many things emotionally to handle the things that you see after opening it

First from basic you've to work on energyworks and how to control energy with mind..then to make your body a good capacitor for energies..simply have to make your body first to adapt for energy and consciousness ie Shiva and Shakthi respectively

Try Ashtanga yoga make your body flexible and strong by Yoga and practise meditation

And slowly open your chakras and the Fifth chakra is the Third eye chakra you'll open it after practise..You can open by many means but the emotional and mental breakdown might feel very dangerous if you mess it up.. Be cautious and move slowly
Thanks
 
Back
Top Bottom