Ni kujali sana au ulimbukeni tuu!

Ndibalema

JF-Expert Member
Apr 26, 2008
10,956
4,648
Au ndio really Gentle?

Attachments

  • gentle.jpg
    gentle.jpg
    76.7 KB · Views: 1,106
Thats crazy thing we do for love. I have big respect for that man eventhough simjui

Hata kitoto(mtoto) kilicho kule pembeni kina mshaangaa...MadameX, you mean alishindwa kumbeba nicely??..au wite ni wasanii tu daraja(mwanaume aliyelala katika picha) na mpitaji(mdada)?
 
We Ndibalema huko ndo kujali.yaani mi ningepata kidume cha namna hiyo!wallah sikiachii maana ningefaidi vingi.nakushauri na we umuige huyo kaka uone mamsapu wako atakavyokupenda.
 
Last edited by a moderator:
We Ndibalema huko ndo kujali.yaani mi ningepata kidume cha namna hiyo!wallah sikiachii maana ningefaidi vingi.nakushauri na we umuige huyo kaka uone mamsapu wako atakavyokupenda.

Ila akifulia ataambiwa mwanaume si kunijali kwa kunibeba na kunipiga mabusu, mwanaume ni kumpa mahitaji mengine mwanamke kama mavazi ila kiukweli jamaa mbunifu na ameonyesha anamjali mrembo wake kwa mbinu mbadala za kiskauti
 
Back
Top Bottom