Ni kujali sana au ulimbukeni tuu!

Ni kujali sana au ulimbukeni tuu!

wasiojua kuhandle utawajua tuuuuu,nina wasiwasi na wewe!
 
ngoja nikusaidie kumalizia naona umesahau.......akikua ataacha
 
Au kwa lugha nyingine naona ulitaka kusema upendo wa toilet pepa.
 
Umenikumbusha usemi mmoja usemao "A MAN CAN PROMISE A MILLION OF THINGS TO GET WHAT HE WANTS" kwa picha hiyo nimeamini.ukute jamaa anafukuzia karibia miaka mpaka ameamua kufanya hivyo!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom