Watetezi wa dola dhalimu nipeni majibu

Watetezi wa dola dhalimu nipeni majibu

mwanadome

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2015
Posts
5,098
Reaction score
5,700
Kwanini hadi sasa viongozi wa serikali wanatumia mtandao wa x (twitter)?,ikiwa umezuiwa hapa Tanganyika kwa kile kinachosemeka na mtandao uliojaa maudhui ya ngono.

Sababu ni ujinga wao,shamba wao,ulimbukeni wao au uzezeta wao?.
 
4. MASHARTI NA MUDA MAALUMU YA CMAG COMMON WEALTH (The Ultimatum)

Kutokana na mapendekezo ya Mjumbe Maalum, CMAG imetoa maelekezo yenye ukomo wa muda (Time-bound actions) kwa Tanzania:

Ndani ya Siku 30: Kutatua suala la kushikiliwa kwa Tundu Lissu kupitia njia za kisiasa au kisheria, na kuwaachia wengine wote wanaoshikiliwa kwa kutumia haki zao kwa amani.

Ndani ya Siku 60: Kurejesha upatikanaji kamili wa mitandao ya kijamii na kuacha vitisho dhidi ya vyombo vya habari na watetezi wa uhuru wa kujieleza.

Ndani ya Siku 90: Kuitisha jukwaa shirikishi na la kuaminika la vyama vya siasa (likiongozwa na mwezeshaji huru) kujadili mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi, ushindani wa kisiasa, wafungwa, na uwajibikaji.

Bila Kuchelewa: Kuanza uchunguzi huru wa makosa ya jinai uliopendekezwa na Tume ya Uchunguzi, pamoja na fidia kwa wahanga.

MWISHO WA UBAYA NI AIBU.
 
Ndugu yangu, mambo ya watu weusi ni mazito kutaathmini.
Tuna shidaaa nyingi sanaa vichwani. Unajiuliza mtu mwenye akili timamu unawezaje tumia kitu ulichokataza kutumika nchini kwako!!
 
Back
Top Bottom