Kufunga ni kujizuilia na kujitesa huwezi kuwa upo umevimbiwa viporo vya kande na ukasema ati umefungaKufunga maana yake nini?
Kama walikua hawali asubuhi mchana na jioni, Sasa hivi wanakula usiku tu.hiyo inakuwaje sio funga?
Kwa nini unataka mtu aliyefunga asile usiku kucha??
Akila usiku kucha na alfajiri kuna shida gani?
Maelekezo ya Imani yao yanasemaje? Kama uislamu unataka wafanye hivyo hapo shida iko wapi wao kufata?
Vita unaiweza?Ni kubadili muda wa kula
Mleta mada ameshindwa kuelewa hichi kitu kidogo tu. Kila dini ina kanuni zake.Maelekezo ya Imani yao yanasemaje? Kama uislamu unataka wafanye hivyo hapo shida iko wapi wao kufata?
Hiyyo kufunga ni kujitesa ni kwa mujibu wa nani?Kufunga ni kujizuilia na kujitesa huwezi kuwa upo umevimbiwa viporo vya kande na ukasema ati umefunga
Sasa kama kufunga Bado unakula unashiba, sigara unavuta, zinaa unafanya, unauwa watu Kwa kujitoa mhangaHakuna hata mmoja anayejua Uislam, nyie mnawaangalia baadhi ya waislam wanachokifanya ni sawa na Sheria ya Kodi Kuna njia ya kuikwepa kihalali hivyo waislam baadhi wanaikwepa kihalali ukizingatia Mwenyezi Mungu wa waislam hawatakii taabu kitendo TU Cha kunuia kufunga tayari umeshashinda mbele na atakuridhia haijalishi, zamani masahaba walikua wanajipa tabu hadi kuacha kuingilia wake zao lakini wakaambiwa msihofu fanyeni usiku hivyo hii sio adhabu ni kumkumbuka Mungu ndio lengo.
Halafu funga ya mwislam au Hata maisha ya kawaida kula hadi kuvimbiwa according to Islam ni dhambi, Hata kutupwa chakula, mtume kaagiza ni sunna kunywa maji au kula tende kila kiasi usiku kabla ya kufunga (elewa sunna) hivyo mtu kila usiku haibatilishi funga ili mradi asivimbiwe akabeua, can you imagine mtu aliyesahau Kama kufunga akala akashiba Bado funga yake IPO pale pale? Enyi wagalatia kufunga sio mateso ni ishara ya Imani, msjiumize kwenda milimani kukaa siku 3 bila kula unashinda umelala eti ndio funga katka Uislam ukifa njaa Kwa makusudi hio ni motoni na hurusiwi kufunga Kama unaumwa malipo yake ni kulisha maskini 60
Hili hali uhusu Uislam, hili Lina muhusu mfungaji muislam,hivyo yawezekana kweli ni mpaganiSasa kama kufunga Bado unakula unashiba, sigara unavuta, zinaa unafanya, unauwa watu Kwa kujitoa mhanga
Sasa hiyo funga ina tofauti Gani na pagan
Mimi binafsi sioni kama mtu aliyekula saa 11 alfajiri atakuwa na haja ya kupata break fast saa 2 asubuhi au kula mchana, maana anakuwa anashiba
Mtu anasubiri jua lizame ale kama machwa au nguruwe pori, anakula hadi anavimbiwa na Bado anaamka usiku wa manane kula tena.
Tuache unafiki hakuna kufunga Kwa hivo kuwa usiku uwe mchana na mchana uwe usiku
Jitu limefunga linangoja king'ora jioni livute sigara au bangi
Jitu limefunga linangoja jua lizame likazini
Jioni mnaandaà ndizi, mihogo, uji, tambi
Yaani ni jitu linakula kama ndo mwisho wa Dunia😅
Kufunga iwe zaidi toba na sadaka na kujizuia Ile riziki ya kula mchana kuwapa masikini, sio kutunza chakula cha mchana ili ule usiku
Karibu futari, Sana'a -Yemen Leo jioni, magharibSawa Shehe BAKWATA