Ni kosa gani ambalo utalijutia maisha yako yote?

Hao walikua na yao tu either kilamtu akiogopa kumuambia mwenzie aanze au jamaa anakibamia tena kadogo sana.
Fact mkuu. Mtalimbo hauwez kuzama kwenye shimo la panya kiurahisi. Au huenda dem ni mzoefu tundu ni pana ilivoteleza tu ikaingia akaanza kujifanya ni maumivu ndo maana hakutaka jamaa achomo kwa utamh aliokua anaskia
 
Najutia san kipindi nasoma chuo kuacha kuendelea kufanya biashara na kujikita katika masomo vizuri. Sasa nimemaliza chuo nina gpa nzuri nipo tu sina hata pesa ya vocha kazi hakuna daah wale niliokuwa nafanya nao biashara zama izo tupo chuo biashara zao zimekuwa kubwa mitaji imepanuka na maisha yameanza kuwanyookea though wengine waliacha chuo na wengine wamemaliza ila kwa tabu sana na ufaulu mdogo. Mimi nimebakia tu na gamba langu zuri pasi na pesa mfukoni.

Nimekubali kosa nilibeti vibaya aisee na nakumbuka mshua wangi alikuwa ananikomalia niache kabisa habar za biashara nisome kwa bidii daaah sema nn i will bounce back stronger.
Kweli mkuu... Hili hata me wazazi naona wamekuwa kikwazo ilaa acha tu sina namnaa..!! nawaza hata ningejichanga ninunuee Boda boda home waifanyie bussiness ila ndo hivyo wazazi hawataki kusikiaa
 
Kuishi ndani ya ndoa wote mke na mume hatupendani, hadi padre katupa go ahead,kesho kla mtu anachukua kilicho chake na kutawanyika
Wakwangu sitaki hata kumuona.hata sitaki kusikia sauti yake kwenye simu.
Sababu kuu ni jeuri na ujuaji
 
Najutia kua sikumt*mba dem mmoja iv alkua best angu na alkua anakuja hostel kwang. Siku moja alkuja akajilaza kam kasinzia kumbe anatak dudu, mm nkiwa naogopa kumuanza coz cjawah mtongoza, badae akaondoka ndo hakurud tena. Badae akawa makam wa chuo. Akawa popular, mtu wa route za nje tu,, akanisahau mawasiliano yakaisha. Najuta ningemt*mba ningepata heshima mpaka leo.

Mm kiazi kweli, tena sijui cha wapi

Duu polee
 
Write your repry...
hii ni ukweli..
kipindi nipo la saba,pale bayroad tulikuwa na team yetu ya sis madogo,akajaga mzungu flani akaweka kombe pale team zipo 6, sisi team yetu tukabeba ndoo,zawadi ilikuwa kupelekwa australia na yule mzungu halafu tutacheza mech team ya huko ya mayanki kama sisi jina nmeisahau, sasa kuna wakenya wawili walipewa kaz ya kupita mahome kwetu kuwaomba wazazi waturuhusu tuondoke, wenzangu wazaz wao wakawaruhusu, mie mzee home akakataa kata kata! nsiende! wakambembeleza wee! mzee kazingua anasema mimi nna mtihani wa la saba so waende na wengne! alafu nlkuwa captain sasa!
kesho yak wenzang wanakuja kuniaga wanaondoka ivoo?
hakuna muda niliolia kama huo toka kuzaliwa! week nzima sikumbuk kama nilikula!
maza nae alkuwa upande wa mzee
nilichoma moto kila kitu nilichonacho kuhusu mpira mpaka juz ndo nimeanza kucheza kitaan
mzee wangu mpaka leo anasema nmsamehe sana huwenda ile ndo ilikuwa ridhik yang toka kwa mungu!
wenzangu wote toka walvoenda sijawah kuwaona tena!
 
Daah mzee alizingua
 
Najuata kuacha kumuamini mke wangu wa sasa kipindi hicho akiwa bado mdogo sana,
Alikua mpenz wangu tulipendana sana, nilifungua biashara ya duka akawa anaomba nimuweke apo yeye ila nkawa na hofu asije nigeuka akikua maana alikua na miaka 16 tu, badala yake nkamuweka hapo mdogo angu akaliendeleza vizuri sana na mi nkawa bize na biashara yangu nyingine nkapata jimama akaniingiza kwenye 18 zake (tunalingana umri sema yeye kaolewa na m'babu mwenye nazo) kanishawishi hadi nkamuacha demu wangu, na mwisho wa siku lile duka mdogo angu alilimaliza vizuri sanaaaaaaa,
Baada ya miaka 3 akili inanirudia nkawa namtafuta zilipendwa wangu, kama Mungu ghafla tumekutana mjini mawasiliano yakaendelea ndio mke wangu sasa,
Kinachoniuma, kumbe baada ya kumuacha alifunguliwa duka na shemeji yake aliekua anakaa kwake ili asikae bure nyumbani, lile duka aliliendeleza vizuri sana hadi na yeye akanunulia apo kiwanja kizuri tu, ndio nkawa nakumbuka kumbe alikua na akili ya biashara kiasi hicho, yaan tungekua mbali zaidi kimaendeleo pia tungeweza kua na watoto wengi zaidi na wakubwa zaidi ya tulionao sasa.
 
Back
Top Bottom