Ni kosa gani ambalo utalijutia maisha yako yote?

Katika maisha yako huenda kuna kosa moja ulilotenda ambalo unajutia kulifanya na kama ungepewa nafasi usingerudia tena.

Mimi katika maisha yangu kosa kubwa nililotenda na ambalo nitalijutia katika maisha yangu yote ni kuchelewa kuanza shule. Nimeanza darasa la kwanza nikiwa na umri wa miaka 12 na kuhitmu darasa la saba nikiwa na umri wa miaka 19. Baada ya kuhitimu s/msingi nikakaa kwa muda wa miaka 6 kabla sijarudi shule tena na kurudia darasa la saba. Hapa nilikuwa na umri wa miak 25. Kwa bahati nzuri nikafaulu kwenda sekondari na kuanza kidato cha kwanza nikiwa na umri wa miaka 26. Bahati nzuri ni kwamba zamani hakukuwa na age sealing. Ingekuwa zama hizi nisingeruhusiwa kusoma shule. Namshukuru Mwalimu Nyerere kwa kuondoa ubaguzi wa kiumri kwenye elimu.

Nimesoma hivyo hivyo nikiwa babu hadi nimehitimu kidato cha sita. Kosa la pili ambalo nalijutia ni kusoma kozi ya ajabu ajabu ambayo haina tija wala mantiki ya kimaisha. Kama umri ungekuwa unaweza kurudishwa nyuma nikarudi kuwa mvulana kamwe nisingesoma kozi hii niliyosoma. Ningejitahidi nisomee udaktari au sheria.

Je, kuna kosa gani ulilotenda katika maisha yako ambalo litaendelea kukutesa maisha yako yote na ambalo usingependa kulirudia kama ungepewa nafasi ya kujisahihisha?

Nilimkuta Demu wangu anabanduliwa mubashara nami nikaomba kolabo kwa Mgoni wangu huku nikiwa nimemkata Jamaa ( mgoni ) wangu Shingoni kusudi nikimaliza " kumbandua " Demu wangu niweze kupambana nae lakini kadri nilivyokuwa nauchomeka " mkuyenge " wangu kwa Demu wangu nikajikuta utamu unazidi na mwenyewe kumwachia Jamaa na kumruhusu aondoke zake tu na kumkanya asirudie tena siku nyingine. Nakijutia sikijutii hiki kitendo.
 
Kwanza najuta kwa kupambana na somo ambalo nilikuwa siliwezi tangu form one lakini kwa kutolikatia tamaa nikapata A necta form 2 peke yangu nilipoingia form 3 walimu na mzazi wangu wakanishikiza nisome arts na huo ndo ukawa mwisho wa ndoto zangu za kuwa engineer

Pili najuta kwa kusoma kwa nguvu zangu zote form 4 kwani nilifaulu sana na kupangiwa kipaji wakati uwezo wangu ni kusoma shule za kata nikaishia kuonekana kilaza na kuwasindikiza wezangu
 
Siku moja alikuja mgeni nyumbani kaacha ufunguo wa gari yake mezani mimi huyo nikajibeba kwenda kuendesha gari wakati huo hata gari sijawai kuendesha dah dah niliibamiza ile gari hovyo hovyo hile ichi kitendo nikikumbuka uwaga naisi ilikuwa ndoto
 
images (36).jpg
 
Back
Top Bottom