juvenile davis
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,752
- 4,449
Kitu cha kwanza asubuhi nikiamka lazima nishike sehemu za siri huku nikipiga mihayo
ha hahahaKitu cha kwanza asubuhi nikiamka lazima nishike sehemu za siri huku nikipiga mihayo
Tunafanana lifestyleAsubuhi saa 11 lazima nivute bangi
Jioni Yake pia saa kumi lazima nivute bangi
Jf kila baada ya nusu saa lazima niingie
Mkuu huna kazi? Kila nusu saa?Asubuhi saa 11 lazima nivute bangi
Jioni Yake pia saa kumi lazima nivute bangi
Jf kila baada ya nusu saa lazima niingie
Lusekelo ndio nini? Maana nijuavyo mimi ni jina la mtu hasa wanyakyusakabla ya kulala lazima nigonge LUSEKELO na kila asubuhi kabla ya kunyanyuka kitandani nazimua tena hapo hapo kitandani
hata mimiKupiga punyeto
Si nasikia vinanyevua vile?au ni maneno tuswezi kulala bila kupata kared wine labda niwe nadose ..........