juvenile davis
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,752
- 4,463
Kila mtu ana kitu ambacho ni muhimu kwake kabla ya kulala na baada, au awapo safarini, sasa leo niambie ni nini ambacho usipokifanya huwezi kulala au kuondoka home asubuhi baada ya kuamka?
Binafsi siwezi kulala bila kupiga mswaki na ndiyo maana meno yangu ni meupe peee, yaani bora nisioge ila sio kulala bila kusafisha kinywa na hata nikiwa safari basi mswaki huwa siusahau kabisa.
Niambie na wewe tuweze kushare idea hapa jamvini.