Ni kitu gani huwezi kulala bila kukifanya au ni kitu gani hukisahau uwapo safarini?

Mishe zangu mimi sio za kupigika in kukaa tu Kwa hiyo nakuwa na muda WA kuchezea simu nitakavyo.. Hasa hii jf ndio kama kilevi changu kingine.. Nikifariki nitaimiss Sana jf staki kuamini kama nitaiacha
Nyie wenye mpango wa kufa mngojeeni melo akifa nae akawaanzishie ka jf kenu huko kuzimu af nahis hakutakua na ban huko..... Ila c wengine hatuna mpango wa kufa ko tutakomaa tuuuu humuhumu
 
Mkuu me nahitaji zile picha ambazo mara nyingine huwa una comment nazo.. Facial expressions photos au Nielekeze wapi nitazipata zote.. Serious mkuu na shida nazo

Google expression au meme unayoitaka, halafu icheki kwenye images.
 
Nikiwa safari lazima nihakikishe nimekaa na binti mrembo ili safari yangu isiwe na karaha huko nipo na tablet yangu bila kusahau Bluetooth headphones hapo naingia Jf huku nasikiliza mziki huku story na mrembo zinaendelea hapo hadi kuja kufika aaah mrembo kesha kuwa, samahani jamani kwa mabinti

Mimi kabla ya kulala ninywe maji glasi moja
Nikaamka nakaa macho kwanza kama dk 15 natuliza akili kisha naenda kunywa maji.
 
Nyie wenye mpango wa kufa mngojeeni melo akifa nae akawaanzishie ka jf kenu huko kuzimu af nahis hakutakua na ban huko..... Ila c wengine hatuna mpango wa kufa ko tutakomaa tuuuu humuhumu
Kifo Kipo tu amini HiVyO. Hatutakiwi kuacha kukifikiria ili tusiache kukiogopa ili ukipata neema utubu mapema na Mwisho tufike Kwa baba JUU Mbinguni.. Bado nitaimiss Sana jf ikitokea kifo kimenikamata
 
Listen old school rap music and new school r&b, afro pop and rap music..........
Every morning I always do that sh!t......
 
Kifo Kipo tu amini HiVyO. Hatutakiwi kuacha kukifikiria ili tusiache kukiogopa ili ukipata neema utubu mapema na Mwisho tufike Kwa baba JUU Mbinguni.. Bado nitaimiss Sana jf ikitokea kifo kimenikamata
Unadhani kufika kwa baba mbinguni ni jambo jepesi? Mkuu usipende kuwaza mambo ya kufakufa,utakuja kufa kweli ujue?we kiache tu siku kifo kije chenyewe ila usikiwazie
 
Lazima nisikilize ngoma za Tupac na Bob Marley kwanza.. Bila hivyo inakua tabu kupata usingizi...
Nikiwa na safari lazima nibebe coin yangu ya shillingi kumi ikiyokua ikitumika enzi za ukoloni.
 
Lazima nisikilize ngoma za Tupac na Bob Marley kwanza.. Bila hivyo inakua tabu kupata usingizi...
Nikiwa na safari lazima nibebe coin yangu ya shillingi kumi ikiyokua ikitumika enzi za ukoloni.
Mkuu sikiliza ngoma ya 2pac inaitwa Still I Rise,aisee ni kama alijitabiria vile
 
drunk.png
 
Hiyo ngoma ni moja ya favorite zangu, inaverse bora kabisa aliyowahi andika Pac. Kwa ujumla outlawz wote walifanya vizuri kwenye hilo pini.
We jamaa nimeamini unamsikiliza Pac,,maana humo yupo na hao watoto,japo siku hizi hawasikiki,tangu Pac afe nao wakapoteana,nasikia yule mwingine ni kinyozi,mara kadafy nae alipigwa bastora,daaah
 
Back
Top Bottom