Ni kitu gani ambacho hauna na wala hakikusumbui kichwa?

Sasa uwezo anao kama kinamsumbua si angenunua?
Mkuu,kitu kinaweza kukusumbua na uwezo ukawa nao ila kwa sababu ya Vipaumbele au ya kutokuelewa au kujipenda unabaki kunungunika na kuweka nyuzi JF na kujaribu Kujiamnisha kwamba Hakikusumbui.Ni tabia na uhalisia wa watu wengi.Roho inatamani ila mwili unasita au Mwili unatamani ila roho inasita.Iphone sio kitu cha kipekee sana cha kuwekea mjadala kama hakikusumbui.Kuna watu ambao wakienda dukani kunanua SIMU wanataka simu inayofanya kazi tu basi Hawajali cha Brand name wala BEI hawa ndio unaweza simu hawasumbiliwi kichwa.Na hata kwenye huu uzi utaona hawatacomment kabisa.Ila wengi tuliocomment to some extent tunasumbuliwa na hivyo tunavyosema havitusumbui
 
Sina bastola, ni sawa tu ningekua nayo ningebutua sana mburukenge yani ukinikera kdogo tu njugu.
 
Back
Top Bottom