Azam SC na timu zingine ni kipi kinawafanya washindwe kuwatoa kwenye reli hawa mapacha wa Kariakoo Simba na Yanga?

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Oct 6, 2016
10,206
12,736
Naam nimekua nikijiuliza maswali ya hapa na pale, kila siku yanga au simba katika hii ligi yetu, ni tofauti kabisa na ligi za wenzetu huko Morroco, southafrica nk.

Hivi ni kipi kinachowafanya Azam fc na wenzake washindwe kuwatoa kwenye reli hao mapacha (Simba na yanga) au Azam na wenzie hawahongi sana marefa/waamuzi ? Au Azam na wenzie hawalogi/hawafanyi ulozi maridhawa kama anavyoamini GENTAMYCINE katika ushirikina?

Au Azam na wenzie hawana vikosi Bora na benchi la ufundi Bora? Au Azam na wenzie makosa ya kibinadamu/ya marefa yanaawakuta wao mara kwa mara haswa wanapocheza na hizi timu pendwa Simba na Yanga?

Nini maoni yako ukiwa kama mdau wa mpira wa miguu hapa Tanzania?
 
Kuna muda Azam ilikua yamoto enzi za Msuva na Manula mpaka wakabeba ndoo

Sababu nyingine ni

Wao wenyewe wanazi wa mapacha
 
Azqm ni tawi la simba kama ilivyo singida united ni tawi la yanga,sasa unategemea nini?
 
wengi watasema simba na yanga zinabebwa,
lakini tumejiuliza kwanini Azam hata kimataifa anafeli?

nadhani Azam haina kikosi bora, haina benchi la ufundi la viwango, haina management yenye maono!

kifupi Azam wana pesa, ila hawana maono!
 
Naam nimekua nikijiuliza maswali ya hapa na pale, kila siku yanga au simba katika hii ligi yetu, ni tofauti kabisa na ligi za wenzetu huko Morroco, southafrica nk.

Hivi ni kipi kinachowafanya Azam fc na wenzake washindwe kuwatoa kwenye reli hao mapacha (Simba na yanga) au Azam na wenzie hawahongi sana marefa/waamuzi ? Au Azam na wenzie hawalogi/hawafanyi ulozi maridhawa kama anavyoamini GENTAMYCINE katika ushirikina?

Au Azam na wenzie hawana vikosi Bora na benchi la ufundi Bora? Au Azam na wenzie makosa ya kibinadamu/ya marefa yanaawakuta wao mara kwa mara haswa wanapocheza na hizi timu pendwa Simba na Yanga?

Nini maoni yako ukiwa kama mdau wa mpira wa miguu hapa Tanzania?
Simba na Yanga ni timu za serikali(zinatumika kisiasa).Hakuna timu itakayokuwa juu ya hizo,na timu hiyo/hizo zikija juu zitashushwa tu.
 
Nadhani ni kwa sababu ni wabahili, wenzao Yanga sio wabahili kwa marefa na kwa timu nyingine kama ile ya Mwigulu
 
wengi watasema simba na yanga zinabebwa,
lakini tumejiuliza kwanini Azam hata kimataifa anafeli?

nadhani Azam haina kikosi bora, haina benchi la ufundi la viwango, haina management yenye maono!

kifupi Azam wana pesa, ila hawana maono!
Dah hii huwa inanipa kigugumizi sanaa kila nikitazama kikosi Cha azamu kilivyokua Bora.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom