Ni kipi kinachowaliza WANANDOA siku ya harusi?

Ni kipi kinachowaliza WANANDOA siku ya harusi?

Sijui hata nililia kwann ila nilipoona watu wengi wamejumuika kwa ajili yetu nililia sana pia maneno ya wazee wangu yaliniliza sana
 
Wanawake wanakuwa hawaamini kuwa hatimaye wamepewa permanent contract, wanaweza kuvunja mkataba na bado wakalipwa pakubwa 🔥 yn ni mkataba wa neema tupu 😎

Wanaume nao wanajutia kuwa amepata malaya atakayekuja kuleta watoto na hao wote kuanza kula pesa za mwanaume 😎

Mwisho wa siku, ndoa ina manufaa kwa mwanamke tuu.
 
Mimi nililia Sana siku ya ndoa yangu.,nilibembelezwa one hour Hadi ndoa ikabidi ihairishwe Hadi the next Saturday..ni hisia tu...
 
Ni hisia za furaha zikizidi ndo machozi hutoka.

Mostly wanaolia ni wale ambao wako na emotionally kwa ukaribu.

Wengine ni Ile Hali ya kutoamini though wamepitia mengi tena mipaka walikaribia hata kuachana ila Mungu ni mwema hatimaye imewezekana.

So kulia au kutokulia wakati wa harusi inategemea na moyo wa mtu ulivyoguswa.
 
Mwanaume unajiliza kuoa janamke used kama sio usenge ni nini. Aziz analia kuoa malaya ​
 
Back
Top Bottom