Ni kinywagi gani unapendelea kunywa zaidi

8178efa31db9d7fb5cf551a1353ab05a.jpg


Hapo ndo tunaongea sasa
Ahahahaa duh!
 
Hi every one.

Mimi napenda kunywa kinywaji cha coca cola bila hiyo sijisikii vizuri kwa siku lazima ninywe 2 au 3 napenda sana coke.

Napenda sana cocacola ukiunganisha na walivyotushushia bei na nikicheki na lile tangazo lake plus taste take...daah huwa naonja msisimuko and it has been my favorite drink..
 
Siku hizi nina shetani wa maziwa mgando, yaani sijui kwa nini jini mkata kamba kahama kwenye Pepsi
 
Back
Top Bottom