Ni kinywagi gani unapendelea kunywa zaidi

Utapata madhara boss kuna padre alikua kila siku ya mungu lazma anywe coca moja ile chupa kubwa bila hiyo haezi fanya kitu alikua over addicted na ndio ikaja kumuua.. too much is harmful..atleast kunywa moja kwa siku tena zile coke zero
Mkuu tujuze madhara yake plz, manake na mimi addicted!
 
Back
Top Bottom