luckyline JF-Expert Member Joined Aug 29, 2014 Posts 15,150 Reaction score 21,801 Oct 31, 2017 #41 Maziwa
NZURI PESA JF-Expert Member Joined Mar 25, 2011 Posts 5,958 Reaction score 2,967 Nov 21, 2017 #42 PURSLANE + BEET LEAVES JUICE au LUFFA LEAVES + SPINACH JUICE HAPO NDO HUWA BURDAAANI SIKU INAENDA VEMA
PURSLANE + BEET LEAVES JUICE au LUFFA LEAVES + SPINACH JUICE HAPO NDO HUWA BURDAAANI SIKU INAENDA VEMA
bbc JF-Expert Member Joined Jan 18, 2016 Posts 3,835 Reaction score 4,152 Nov 29, 2017 #43 Maziwa na juisi mchanganyiko wa pashen na embe
usatrumpjr JF-Expert Member Joined Jan 21, 2017 Posts 2,237 Reaction score 2,900 Nov 29, 2017 #44 Castle lager ndogo za baridiiiiiiiiii na glass yake
M mkokotoni Senior Member Joined Jul 31, 2015 Posts 155 Reaction score 302 Dec 1, 2017 #45 Napenda sana juice ya miwa, nikiwa kwenye mizunguko yangu nikiiona inauzwa lazima nipate lile glass kubwa na nyingine lazma ibebwe....
Napenda sana juice ya miwa, nikiwa kwenye mizunguko yangu nikiiona inauzwa lazima nipate lile glass kubwa na nyingine lazma ibebwe....
kinundu JF-Expert Member Joined Oct 12, 2016 Posts 2,028 Reaction score 2,169 Dec 1, 2017 #46 Maji mkuu mara nyingi uwaga nakunywa
Tajirimsomi JF-Expert Member Joined Jan 12, 2017 Posts 4,824 Reaction score 5,612 Dec 1, 2017 #47 Wine
K Kasongo JF-Expert Member Joined Jul 29, 2007 Posts 3,149 Reaction score 2,274 Dec 1, 2017 #48 Kama uko >35yrs bia si nzuri sana,zinaongeza blood sugar type 2.Kunywa bia mbili tu ondoka zako kwenda nyumbani
Kama uko >35yrs bia si nzuri sana,zinaongeza blood sugar type 2.Kunywa bia mbili tu ondoka zako kwenda nyumbani
The Wolf JF-Expert Member Joined Sep 10, 2013 Posts 9,468 Reaction score 20,879 Dec 1, 2017 #49 Konyagi
LAMBOFGOD JF-Expert Member Joined Aug 12, 2016 Posts 1,560 Reaction score 1,320 Dec 1, 2017 #50 Fenti Ford kila asubuhi
Neybright JF-Expert Member Joined Feb 1, 2017 Posts 5,692 Reaction score 14,485 Dec 1, 2017 #51 Napenda sana juice ya mchanganyiko wa embe passion na parachichi.
mng'ato JF-Expert Member Joined Oct 27, 2014 Posts 29,195 Reaction score 49,144 Dec 1, 2017 #52 usatrumpjr said: Castle lager ndogo za baridiiiiiiiiii na glass yake Click to expand... Mpk glass yake unainywa?hatareeeee
usatrumpjr said: Castle lager ndogo za baridiiiiiiiiii na glass yake Click to expand... Mpk glass yake unainywa?hatareeeee
babulakibaha JF-Expert Member Joined Jun 7, 2012 Posts 287 Reaction score 326 Dec 1, 2017 #53 [emoji481]
usatrumpjr JF-Expert Member Joined Jan 21, 2017 Posts 2,237 Reaction score 2,900 Dec 1, 2017 #54 mng'ato said: Mpk glass yake unainywa?hatareeeee Click to expand... Kama nayo ni kinywaji kwnn nisinywe mwanangu
mng'ato said: Mpk glass yake unainywa?hatareeeee Click to expand... Kama nayo ni kinywaji kwnn nisinywe mwanangu
highness long JF-Expert Member Joined Sep 30, 2017 Posts 514 Reaction score 510 Dec 1, 2017 #55 Konyagi
Mother Confessor JF-Expert Member Joined Jan 7, 2016 Posts 18,684 Reaction score 45,615 Dec 2, 2017 #56 Milkshake ya avocado Maji Maziwa fresh na juice fresh ya matunda.
General Mangi JF-Expert Member Joined Dec 21, 2013 Posts 15,317 Reaction score 23,192 Dec 10, 2017 #57 Kitwanga
tremendous JF-Expert Member Joined Aug 12, 2016 Posts 3,237 Reaction score 5,328 Dec 11, 2017 #58 Gongo
Captain-Sparta Senior Member Joined Sep 9, 2016 Posts 175 Reaction score 172 Dec 14, 2017 #59 tremendous said: Gongo Click to expand... Hapo umenena kinywaj og haina mbwe mbwe hakuna kumaliza hela
tremendous said: Gongo Click to expand... Hapo umenena kinywaj og haina mbwe mbwe hakuna kumaliza hela
God'sBeliever JF-Expert Member Joined Sep 1, 2015 Posts 5,786 Reaction score 3,067 Dec 24, 2017 #60 Kila kinywaji napiga mm ila sio bangi na madawa ya kulevya.