Ni kichaa tu atatunza amani ili Wanasiasa, Viongozi na familia zao waishi maisha ya ukwasi kwa Ufisadi wa pesa za Umma

Lord Denning

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2015
Posts
23,494
Reaction score
57,869
Kuelekea tarehe 29 Oktoba 2025 napenda kuwaambia hawa wanasiasa mafisadi wanaotulisha propaganda za amani ili waendelee kuishi vizuri kwa ufisadi wanaofanya kwenye kodi zetu na mali zetu wanachi.

Safari hii Wananchi tumekataa kuitunza amani ili wao waishi maisha ya ukwasi kwa kodi zetu huku sisi tuliteseka bila ajira, maji, dawa hospitalini pamoja na mitaji ya uhakika na mbaya zaidi wakituteka na kutuua tunaodai haki zetu.

29 Oktoba tunatoka na kuwafundisha hawa Mafisadi CCM kuwa mwenye nchi ni mwananchi.
 
Upuuzi tu .

Libya , Sudan , Congo nk baada ya Amani kupotea nani wanaoteseka ? Amani ni kitu muhimu huenda unaongea kirahisi sababu haujawahi kuishi maeneo yenye machafuko.

Usisahau kubeba na familia yako mtoke front.
 
Nikiona mpumbavu yeyote kama huyu aliyecomment hapo juu yangu eti anajaribu kutumaminisha kuwa tuna amani napata ukakasi sana.

Amani gani hii bwana wapumbav nyie?
 
Nyumbu linaaandika kuponda uanasiasa Huku likiwa linampigania bwana'ake lissu ambaye ni mwanasiasa (aliyeolewa ubelgiji, of course) apate madaraka na kuishi vema zaidi. Nyambaaaf
 
Hakuna third choice ?
  • Amani na wao bila kuchota ?
Na unachofanya ndio kitazuia ?
  • Hakuna Amani na hawachoti ?
Au itakuwa Both ?

"Strategy without tactics is the slowest route to victory. Tactics without strategy is the noise before defeat."
 
Naona leo uko Instagram vijana wamepanic baaada ya kuona parking ya Mwana fa huko Muheza, ikitokea farangati watapoteza mali nying sana ambazo hawawez kuzipata tena lazima wahamasishe watu watulie wasilete shida.
 
Upuuzi tu .

Libya , Sudan , Congo nk baada ya Amani kupotea nani wanaoteseka ? Amani ni kitu muhimu huenda unaongea kirahisi sababu haujawahi kuishi maeneo yenye machafuko.

Usisahau kubeba na familia yako mtoke front.
Waliosababisha amani ikosekane huko ni mafisadi kama hawa Mafisadi wa CCM wanaojinufaisha na familia zao huku Wananchi wengi wakitaabika
 
Ila kiukweli Samia na genge lake wanapiga hela balaa asee hawa wahuni watoke tu kwakweli
 
Naona leo uko Instagram vijana wamepanic baaada ya kuona parking ya Mwana fa huko Muheza, ikitokea farangati watapoteza mali nying sana ambazo hawawez kuzipata tena lazima wahamasishe watu watulie wasilete shida.
Tarehe 29 wananchi tunadeal na nyumba na ofisi za viongozi pamoja na mali zao.

Wanajifanya mafisadi wakati tunaishi nao mitaani ngoja tuwaonyeshe sasa
 
Ila kiukweli Samia na genge lake wanapiga hela balaa asee hawa wahuni watoke tu kwakweli
Wanapiga hela alafu wanaishia kututeka na kutuua wapuuzi hawa.

Hiyo Oktoba 29 potelea mbali ama zao ama zetu.
 
Kuelekea tarehe 29 Oktoba 2025 napenda kuwaambia hawa wanasiasa mafisadi wanaotulisha propaganda za amani ili waendelee kuishi vizuri kwa ufisadi wanaofanya kwenye kodi zetu na mali zetu wanachi.

Safari hii Wananchi tumekataa kuitunza amani ili wao waishi maisha ya ukwasi kwa kodi zetu huku sisi tuliteseka bila ajira, maji, dawa hospitalini pamoja na mitaji ya uhakika na mbaya zaidi wakituteka na kutuua tunaodai haki zetu.

29 Oktoba tunatoka na kuwafundisha hawa Mafisadi CCM kuwa mwenye nchi ni mwananchi.
Kweli wewe patriot, Mungu akubariki, uongezewe nguvu zaidi
 
Siyo kazi nyepesi kiongozi, Kwa sababu adui tuliyenae ana vitu vyote mhimu wakati Sisi tuna virungu tu na mawe
 
Kuelekea tarehe 29 Oktoba 2025 napenda kuwaambia hawa wanasiasa mafisadi wanaotulisha propaganda za amani ili waendelee kuishi vizuri kwa ufisadi wanaofanya kwenye kodi zetu na mali zetu wanachi.

Safari hii Wananchi tumekataa kuitunza amani ili wao waishi maisha ya ukwasi kwa kodi zetu huku sisi tuliteseka bila ajira, maji, dawa hospitalini pamoja na mitaji ya uhakika na mbaya zaidi wakituteka na kutuua tunaodai haki zetu.

29 Oktoba tunatoka na kuwafundisha hawa Mafisadi CCM kuwa mwenye nchi ni mwananchi.
29 Oktoba tunatoka na kuwafundisha hawa Mafisadi CCM kuwa mwenye nchi ni mwananchi
 
20251008_083004.jpg
 
Upuuzi tu .

Libya , Sudan , Congo nk baada ya Amani kupotea nani wanaoteseka ? Amani ni kitu muhimu huenda unaongea kirahisi sababu haujawahi kuishi maeneo yenye machafuko.

Usisahau kubeba na familia yako mtoke front.

Wanadhani ni sifa kuchochea uvunjifu wa Amani.
 
Back
Top Bottom