Ni Kauli Ipi Inachefusha Na Kinyaa Katika Hizi?

Judgement

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2011
Posts
10,326
Reaction score
4,787
Tulikaa na wana wa harakati wenza , tukichambua haya na yale ktk mustqbali wa nchi yetu mambo yaendavyo.

Ghafla tukajikuta tunajadili baadhi ya kauli , za viongozi wetu wa kitaifa , kimajimbo etcetera!
Walizozitoa tokea kipindi hiki kurudi nyuma.

Hata hivyo ktk majumuisho yetu hatukua wahi kupata kwa tamko letu moja , ni ipi kauli iliyobobea kuudhi baina ya zote.

Baadhi ya kauli ni hizi , sanjari na watoa kauli majina yao ktk mabano .

KAULI ;-
> Ikibidi kula nyasi, tutazila ili mradi ndege ya Rais inunuliwe!
(Basil Mramba)

> Foleni -jam za magari Dar , ni ishara ya maisha bora!
(J. K)

> Acheni wivu wa kike wapinzani !
(P. Msekwa)

> Asiyeweza kulipa nauli ya kivuko , apige mbizi !
(Magufuli)

> Nimetumia Helcopter ya jeshi kwenda Urambo mnanung'unika , mlitaka nipande Punda ?
(Kapuya)

> Wabunge wa mkoa wa D'salaam wanafikiri kwa kutumia Makalio!
(M.asa.buri)

> Ukitaka kula , lazima na wewe uliwe! Japo kidogo!
(J.k)

> Mnaniuliza mvua, kwani mimi waziri wa mvua?
(Wasira)

> Kila mwananchi ataubeba msalaba wake!
(Mkulo)

> Kinachowaleteleza wanafunzi kupata mimba , ni viherehere vyao!
(J.k)

> Kila atakae kinzana na nguvu za dola ktk suala la gesi apigwe tu!
(Mizengo)

Naomba kuacha hoja!
 
nafikiri inayokera .ni jk vihele hele vyao, wakati wamecha kusudi kujenga na kuimarisha shule za bweni
 
> Asiyeweza kulipa nauli ya kivuko , apige mbizi !
(Magufuli)

> Nimetumia Helcopter ya jeshi kwenda Urambo mnanung'unika , mlitaka nipande Punda ?
(Kapuya)

> Mnaniuliza mvua, kwani mimi waziri wa mvua?
(Wasira)
Zote zinakera bse ni za kukatisha tamaa...ila hizo zimenichekesha kwa kweli
 
Hiyo ya Basil Mramba inatia kichefuchefu balaaa
 
Magufuli, kapuya, wasira na pinda wamenikera kweli. Nahisi hizi kauli zinaweza niharibia cku..
 
Tulikaa na wana wa harakati wenza , tukichambua haya na yale ktk mustqbali wa nchi yetu mambo yaendavyo.

Ghafla tukajikuta tunajadili baadhi ya kauli , za viongozi wetu wa kitaifa , kimajimbo etcetera!
Walizozitoa tokea kipindi hiki kurudi nyuma.

Hata hivyo ktk majumuisho yetu hatukua wahi kupata kwa tamko letu moja , ni ipi kauli iliyobobea kuudhi baina ya zote.

Baadhi ya kauli ni hizi , sanjari na watoa kauli majina yao ktk mabano .

KAULI ;-
> Ikibidi kula nyasi, tutazila ili mradi ndege ya Rais inunuliwe!
(Basil Mramba)

> Foleni -jam za magari Dar , ni ishara ya maisha bora!
(J. K)

> Acheni wivu wa kike wapinzani !
(P. Msekwa)

> Asiyeweza kulipa nauli ya kivuko , apige mbizi !
(Magufuli)

> Nimetumia Helcopter ya jeshi kwenda Urambo mnanung'unika , mlitaka nipande Punda ?
(Kapuya)

> Wabunge wa mkoa wa D'salaam wanafikiri kwa kutumia Makalio!
(M.asa.buri)

> Ukitaka kula , lazima na wewe uliwe! Japo kidogo!
(J.k)

> Mnaniuliza mvua, kwani mimi waziri wa mvua?
(Wasira)

> Kila mwananchi ataubeba msalaba wake!
(Mkulo)

> Kinachowaleteleza wanafunzi kupata mimba , ni viherehere vyao!
(J.k)

> Kila atakae kinzana na nguvu za dola ktk suala la gesi apigwe tu!
(Mizengo)

Naomba kuacha hoja!

Hahahaaaa... huyu Waziri atuombe radhi, nani kasema sie wanawake ni wavivu???????
 
Back
Top Bottom