bbwaoy
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 466
- 468
Nina miezi 3 toka nianze kazi na hii kampuni X ya wazungu wajerumani.
Niko kwenye probabtion ya miezi 6 nalipwa mshahara wa kati tu waku niwezesha kubadili mboga. Nili pata email kua nahitajika makao makuu kwajili ya kikao nilipo fika nilikuta mzungu 1 , meneja (mwafrika ) na supervisor wangu.
Lengo la kikao ni kwamba nilikua nime chaguliwa kuchikilia nafasi muhimu sana makao makuu, nafasi ambayo inge nitoa huko maporini nilipo pangiwa kazi na kurudi mjini.. lakin siku ya kikao hawa waafrika wali pinga sana hilo wazo la mzungu alie ni chagua yeye mwenyewe kua Mimi ndio nafaa hio nafasi na sio mwingine..
Ila cha ajabu hawa jamaa wawili wali pinga kweli kweli... na Bahati yangu ikafia hapo!!! Naumia sana mpaka leo...