QALLI MIZOH
JF-Expert Member
- Mar 19, 2014
- 2,075
- 699
"Miafrika ndivyo tulivyo " by Nyani Ngabu
Last edited by a moderator:
Nina miezi 3 toka nianze kazi na hii kampuni X ya wazungu wajerumani.
Niko kwenye probabtion ya miezi 6 nalipwa mshahara wa kati tu waku niwezesha kubadili mboga. Nili pata email kua nahitajika makao makuu kwajili ya kikao nilipo fika nilikuta mzungu 1 , meneja (mwafrika ) na supervisor wangu.
Lengo la kikao ni kwamba nilikua nime chaguliwa kuchikilia nafasi muhimu sana makao makuu, nafasi ambayo inge nitoa huko maporini nilipo pangiwa kazi na kurudi mjini.. lakin siku ya kikao hawa waafrika wali pinga sana hilo wazo la mzungu alie ni chagua yeye mwenyewe kua Mimi ndio nafaa hio nafasi na sio mwingine..
Ila cha ajabu hawa jamaa wawili wali pinga kweli kweli... na Bahati yangu ikafia hapo!!! Naumia sana mpaka leo...
Je, ulichaguliwa hiyo nafasi kwa kufata merit principlez za hiyo kampuni X...?
Au ilikuwa ni kama zali la mentali tu mwana ukaokota embe dodo kwenye
mchongoma...?
No sio kwamba nili ongea ngeli, tena siku ongea chochote siku io .. I just cooled down na kusubiria bahat yangu itiki
Nina miezi 3 toka nianze kazi na hii kampuni X ya wazungu wajerumani.
Niko kwenye probabtion ya miezi 6 nalipwa mshahara wa kati tu waku niwezesha kubadili mboga. Nili pata email kua nahitajika makao makuu kwajili ya kikao nilipo fika nilikuta mzungu 1 , meneja (mwafrika ) na supervisor wangu.
Lengo la kikao ni kwamba nilikua nime chaguliwa kuchikilia nafasi muhimu sana makao makuu, nafasi ambayo inge nitoa huko maporini nilipo pangiwa kazi na kurudi mjini.. lakin siku ya kikao hawa waafrika wali pinga sana hilo wazo la mzungu alie ni chagua yeye mwenyewe kua Mimi ndio nafaa hio nafasi na sio mwingine..
Ila cha ajabu hawa jamaa wawili wali pinga kweli kweli... na Bahati yangu ikafia hapo!!! Naumia sana mpaka leo...
Mbaya zaidi mzungu alisema wazi bila kuficha "you are the only guy who can help us in this position & it's because you have the experience in what it takes for someone to run it "... na kwa sababu mimi na ngeli ni damu damu niki amua kuongea na ongea kweli, sasa walipo ona huyu jamaa ni smart ana weza chukua position kubwa mbeleni waka weka CANCEL nika rudi zangu pori....
Ngeli sio cv, kama una expirience kwa nn ukae porini, weka cv yako mezani onyesha unaweza hakuna wa kusema hufai kinachosema ni cv, cv ndo inakutetea hata ukikaa kimya. Kama unaona hawakukufanyia haki, andika barua ya kutoridhika, mpe mkuu wako, onyesha msimamo wako wa hata kuresign kama utaona haki haikutendeka, usifanye kazi kama mtumwa