Mzee Rufiji
JF-Expert Member
- Aug 24, 2024
- 737
- 1,275
Ephen mama nakapenda ATI mwenzio silali, NAOMBA nikubalie basi hata Kwa kunidanganya❤️❤️Hujanitag unaniogopa! Umesahau nina kitambi
Unanikera hujui tuEphen mama nakapenda ATI mwenzio silali, NAOMBA nikubalie basi hata Kwa kunidanganya❤️❤️
Hivo ulivo nakupenda tu♥️♥️♥️Usiwe unatia chumvi watu wakajua unayosema ni kweli kumbe kawaida tu.
Mapenzi ya hao watu usije yaingilia kabisa wanajuana wao Kwa wao, tena Kuna muda demu wako anaanza kukupa stori ya mwanaume wake wa mwanzo alivo kua ana mpiga 😆😆.Looh! 🥺
Ephen mtu kusema hisia zake ni kosa? Basi Niko radhi Kwa lolote mamy 🙏🙏🙏 but penzi kikohozi halijifichi dear♥️♥️Unanikera hujui tu
Hajatembea huyu,,,Uje kanda ya ziwa tukutembeze kidogo, unaongelea wasukuma wa tiktok naona
Cc: leo dada Binti wa zamani
Beauty is in the eye of the beholder!1.mkurya 2.maasai 3.mchagga 4.wasukuma 5.wadigo 6.wanyiremba 7.wanyaturu 8.wahaya 9.mjita 10.wasambaa
Wewe wachaga huwawezi jaribu wazaramo 😹😹😹Nawapenda sana wachaga ila sijui kwanini huwa Wanatabia mbaya... They're soo egocentric..
Mnajipakulia minyama! Sio mnawategemea Wajita waliojazana Mwanza?Hajatembea huyu,,,
akija ntuzu ataomba msamaha, akienda keya atapata kizungu zungu, akifika ngweli atajiuliza aanzishe uzi ama vepe akibahatika kuiona dakama mamaaaa !!!!! akipelekwa sukuma ndio kabisa atatafuta kaka yetu amuachie kopi.
Wakurya wanafanana na pisi za Sumbawanga 😹😹😹Binafsi sijawahi kuona mkurya mzuri
Getrude huwa nahisi kachanganya sio mkurya pure
Hata hivyo nae sio pisi ya kustua kama ndiye anawakilisha kabila lao
Sana asee wana mashepu hayo masikini shida ni sura za baba zao alafu wanajua kupenda, akikupenda kwisha hata usimroge na ni wavumilivu wa shidaWakurya wanafanana na pisi za Sumbawanga 😹😹😹
Labda wajita ndio wana mishepu ila nao weusi tii mitraco inawabeba..!!
😹😹😹 Huko wanaishi vitani..!!Heheheeeee usipo mpiga ana ona huna mapenzi ya dhati kwake, alafu huko hawaonewi huruma unakuta mwanamke anapigwa na kuni ya moto, unasema kabisa ninge kua Mimi naondoka, kesho yake ukipita unamkutapo tena anafuraha daaah
Halafu mitako migumu ndio tatizo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Wakurya wanafanana na pisi za Sumbawanga 😹😹😹
Labda wajita ndio wana mishepu ila nao weusi tii mitraco inawabeba..!!
Mjadala ufungwe mchaga, nyaturu,1.mkurya 2.maasai 3.mchagga 4.wasukuma 5.wadigo 6.wanyiremba 7.wanyaturu 8.wahaya 9.mjita 10.wasambaa
Halafu wajita na ndugu zao wakurya hawana antena..!! Chini kuko wazi 😹😹Sana asee wana mashepu hayo masikini shida ni sura za baba zao alafu wanajua kupenda, akikupenda kwisha hata usimroge na ni wavumilivu wa shida
Hujawatendea haki dada zanguWatoe kwanza wasukuma halafu tuendelee
Laivu yani utasema ana pigwa mbwa dah, sasa nenda kamshauri AONDOKE uone moto utakao kuwakia kwake na Kwa bwana yake😹😹😹 Huko wanaishi vitani..!!
Hapo kwenye kuni ya moto nimecheka aiseeee..!!
Hii mbaya hii 😹😹😹Halafu mitako migumu ndio tatizo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣