Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,483
- 9,793
Kipindi nasoma musoma tech, ilikua balaaa yani katika mademu kumi mzuri Mmoja aua usipate kabisa na ile lafudhi Yao ya kuvuta utasikia, waaanaaakkkuuuuuujaa BADALA ya wanakuja😂😂
Ila wakurya huwa ni wabayaa,pisi za kikurya zote huwa mbaya kinyamaa
How comes umefananisha hizo kabila mbili