Ni kabila lipi lina watoto wazuri?

Ni kabila lipi lina watoto wazuri?

Kwamba siwajui wasukuma? Wazuri wapo ila sio wengi kufananisha na wanawake wa kimasai, wanyaturu etc
Aisee kweli, kuna wanawake wawili wa kimasai, mmoja ni Manager wa hotel hapa Zanzibar na mwingine yupo Dsm, Wallah ni Wazuri wa sura, ngozi na shape

Nyie eleweni tu kuwa ni wazuri
 
Hapana hapo sijagusia wajita hata kidogo.
Hizo ni pande za wasukuma tu
Wasukuma wa mwanza
ntuzu
shinyanga
kahama
geita
Tabora
Wajita ninavyofamu wazuri ni wachache mnoo.
Nadhani bado huijui Tanzania
Kwa picha zile za selfika mahondaw anawawakilisha lakini wengine hapana hawajulikani kiuno kiko wapi na mapaja yako wapi? Sura ngumu km wapasua mawe..!! 😹😹😹

Kuna msukuma huku pure mfupi ana matege mpk nikamuuliza vizuri wewe msukuma au unaongea kisukuma?? Kajibu yeye ni ntuzu OG 😹😹😹

Hivi kumbe usukumani na wafupi wapo?
 
Hapana hapo sijagusia wajita hata kidogo.
Hizo ni pande za wasukuma tu
Wasukuma wa mwanza
ntuzu
shinyanga
kahama
geita
Tabora
Wajita ninavyofamu wazuri ni wachache mnoo.
Nadhani bado huijui Tanzania
Leo dada wewe ni msukuma pure?
Hao unaosema ni wazuri labda wamechanganya damu.

Kuna makabila tukubali tu wazuri wapo wa kuokoteza.
Mimi ni mngoni naona ndugu zangu wa baba wangoni pure walivyo wa kawaida tena wengine andunjee.
 
Kwa picha zile za selfika mahondaw anawawakilisha lakini wengine hapana hawajulikani kiuno kiko wapi na mapaja yako wapi? Sura ngumu km wapasua mawe..!! 😹😹😹

Kuna msukuma huku pure mfupi ana matege mpk nikamuuliza vizuri wewe msukuma au unaongea kisukuma?? Kajibu yeye ni ntuzu OG 😹😹😹

Hivi kumbe usukumani na wafupi wapo?

Weweweweee mtoto!!!
Ukisoma hapo nimeainisha wasukuma wa sehemu mbalimbali.
Wafupi na wabaya wapo kila kabila.

Mie nusu ya ukoo wangu ni weupe pee japo wafupi wapo na werefu wapo.
ubaya wa msukuma mmoja sio wote jamani.
 
Nisiwe muongo, Kwa uzoefu wangu, waunguja wa zanzibar ni wazuri tena sana shida Yao maumbo yani umbo hazieleweki ila usoni usiwaze wazuri kinoma
Wazanzibar gani mkuu ukitaka wakuchukie waambie waondoe mtandio
mwanamke yeyote akivaa mtandio anaonekana mzur 😁

wazanzibar ni wabovu wanashindana uko chini na watu wa Lindi😁
 
Leo dada wewe ni msukuma pure?
Hao unaosema ni wazuri labda wamechanganya damu.

Kuna makabila tukubali tu wazuri wapo wa kuokoteza.
Mimi ni mngoni naona ndugu zangu wa baba wangoni pure walivyo wa kawaida tena wengine andunjee.

Mi msukuma pure kabisa baba na mama,,, japo mama anatokea ukanda wa keya.
Siwezi kubishana sana na wewe!!!!!
Wasukuma wapo kikanda labda wewe unaongelea wa wapi?¿????
 
Back
Top Bottom