Ni kabila lipi lina watoto wazuri?

Ni kabila lipi lina watoto wazuri?

Kama hamna haya makabila katika uzuri wa sura nadhani hujafanya homework vizuri:
Wairaqw
Wanyaturu
Ŵanyiramba
Warangi

Sema sasa...
Maji hayajachemka msosi umeiva!!
😂 Legend!

49099731-65bf-48a5-8242-4bf47edb6f13.jpeg
 
Chumvi ipo!
Wasukuma mnachozidi wanawake wa makabila mengine ni wivu wa mapenzi! Nyie hata kwenye urafiki hutaki rafiki yako awe na rafiki yake.
Duhh hizi tabia mpya sijawahi kuzisikia lol, kaskazini nimeziona! Inawezekana kutokana na watu unaokutana nao nisikubishie😀
 
watoto wapo wa kiume na wakike sasa sijajua unazungumzia watoto gani
 
Back
Top Bottom