ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 20,679
- 76,178
Washaanza kuitana😂 sasa wanataka wajifananishe na Wakurya!Ndio nakwambia ngoja wasukuma watoke kuchunga ng'ombe wanakuja 😂😂
Wanamtegemea Kajala Masanja awawakilishe
Washaanza kuitana😂 sasa wanataka wajifananishe na Wakurya!Ndio nakwambia ngoja wasukuma watoke kuchunga ng'ombe wanakuja 😂😂
Washaanza kuitana😂 sasa wanataka wajifananishe na Wakurya!
Wanamtegemea Kajala Masanja awawakilishe
Dahh basi nashindwa kualewa🥹Kwamba siwajui wasukuma? Wazuri wapo ila sio wengi kufananisha na wanawake wa kimasai, wanyaturu etc
Dah! Kujitetea ni ngumu sana🥺Washaanza kuitana😂 sasa wanataka wajifananishe na Wakurya!
Wanamtegemea Kajala Masanja awawakilishe
Wapo wazuri pia, na wao wanamtegemea getrude😆😂😂
Ila wakurya huwa ni wabayaa,pisi za kikurya zote huwa mbaya kinyamaa
How comes umefananisha hizo kabila mbili
Musoma kuna kabila ni wazuri tofauti na wakurya nimelisahau ndo maana natumia wakurya😂😂
Ila wakurya huwa ni wabayaa,pisi za kikurya zote huwa mbaya kinyamaa
How comes umefananisha hizo kabila mbili
Ungejua kabila langu ungenipopoa vizuriDah! Kujitetea ni ngumu sana🥺
We utakuwa wa morogoro, at first nilijua kaskazini moja!Ungejua kabila langu ungenipopoa vizuri
Wapo wazuri pia, na wao wanamtegemea getrude😆
Wajaluo na wajita?? Oh Please..🙄Musoma kuna kabila ni wazuri tofauti na wakurya nimelisahau ndo maana natumia wakurya
Labda hilo lingine ambalo umelisahauMusoma kuna kabila ni wazuri tofauti na wakurya nimelisahau ndo maana natumia wakurya
Wapo mamaake, mwanza wamezagaa ni warembo japo sio wengi ni wa kuhesabu!Binafsi sijawahi kuona mkurya mzuri
Getrude huwa nahisi kachanganya sio mkurya pure
Hata hivyo nae sio pisi ya kustua kama ndiye anawakilisha kabila lao
Morogoro🥹We utakuwa wa morogoro, at first nilijua kaskazini moja!
Wapo mamaake, mwanza wamezagaa ni warembo japo sio wengi ni wa kuhesabu!
Aww, kumbe naweza kuwa mchunguzi sio! Sema mimi nawakubali mtu watoto wa huko, huwa mna kangozi fulani na nywele sijajua kama wengi mpo hivyo!Morogoro🥹
Nikipata mmoja ntamleta kwako ujionee mambo😁Yeah,watakuwepo
Mie sijawaona 😂
Mimi msouth AfricaAww, kumbe naweza kuwa mchunguzi sio! Sema mimi nawakubali mtu watoto wa huko, huwa mna kangozi fulani na nywele sijajua kama wengi mpo hivyo!
Aww hongera! Huku tunakoelekea itatubudi tumix breeds aisee! Sasa hivi kujitambulisha kabila inaleta kamzozo🤣Mimi msouth Africa