Karne ya 21; kanuni 10 za kuwa na furaha.

Matunzo 02

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2026
Posts
1,453
Reaction score
2,871
1. Usiwe na wasiwasi.
2. Usihofu.
3. Usivuke daraja kabla hujalifikia.
4. Pambana na tatizo pale linapokukabili.
5. Usibebe matatizo yako mpaka kitandani.
6. Usiazime matatizo ya wengine.
7. Usifikirie jana kwa mema wala mabaya maana imeshapita zingatia sasa.
8. Uwe msikilizaji mzuri.
9. Usikwamishwe kwa maudhi, kwani 90% ya maudhi chanzo chake ni kujihurumia na hali hii itaingilia vitendo vyako chanya.
10. Hesabu baraka zako, kamwe usipuuze zile baraka ndogo ndogo, kwani baraka ndogo ndogo nyingi hufanya baraka kubwa moja.

WEEKED NJEMA¿.
 
ok.🐒
 
FB_IMG_1791599371663.jpg
 
Back
Top Bottom