Ni kabila lipi lina watoto wazuri?

Ni kabila lipi lina watoto wazuri?

Kama hamna haya makabila katika uzuri wa sura nadhani hujafanya homework vizuri:
Wairaqw
Wanyaturu
Ŵanyiramba
Warangi

Sema sasa...
Maji hayajachemka msosi umeiva!!
Umetaja Wairaq moyo umepasuka paaaaah na sishauri mwanaume mwenye moyo mdogo aoe Hilo kabila japo ni wazuri na mashaallaah kanizalia kabinti karenbo sana
 
1.mkurya 2.maasai 3.mchagga 4.wasukuma 5.wadigo 6.wanyiremba 7.wanyaturu 8.wahaya 9.mjita 10.wasambaa
List yako haiko precise.
Wachaga na uzuri wanahusiana vipi hata huo muda wa kujiremba hawana wanawaza shilingi.
Warangi,Wairaki/Wambulu unawaachaje halafu unaweka wasukuma na Wahaya?
 
Nawapenda sana wachaga ila sijui kwanini huwa Wanatabia mbaya... They're soo egocentric..
Ni kweli wachaga ni wazuri ila kwenye tabia hawafai kabisa,hapa tunaangalia urembo tukiweka vigezo vya Sura,Pua,Lips na Jawline,kwenye miguu wakivaa vile visuruali vya kubana na viraba flani hivi inaongeza ladha flani hivi,ila wasipende sana kuvaa magauni ya kuishia kwenye magoti,hayo ni maoni yangu mimi..
 
Umetaja Wairaq moyo umepasuka paaaaah na sishauri mwanaume mwenye moyo mdogo aoe Hilo kabila japo ni wazuri na mashaallaah kanizalia kabinti karenbo sana
Aaah hao sijui mungu kawapa nini!!
 
Hahah hiyo pisi kali baba, mtoto mzuri huyu acha kabisa! Ana bomba ya tako hakuna humu ndani na ana kasura kazurii, lips sasa mamamamaaa!
Kuwa na Tako sio kigezo cha uzuri Kwa upande WANGU, unaeza kuwa flat screen lakini nzuri waangalie wa Thailand, asee ni wembamba alafu wa zuri balaa hapo sitoki utani ua bure
 
Back
Top Bottom