Ni jambo la hatari CCM kuishiwa mbinu

Ni jambo la hatari CCM kuishiwa mbinu

Kwa sasa inavoonekana CCM imeishiwa mbinu ya kukifanya chama hicho kikubalike kwa watanzania.

Kitendo cha CCM kuishiwa mbinu ya kukifanya chama hicho kuaminiwa na watanzania wakati kikiwa kinaendesha Serikali na kusimamia vyombo vya dola, ni jambo la hatari sana kwa mustakbali wa nchi yetu.

CCM kuishiwa mbinu za kuongoza nchi yetu, ni sawa na chizi mwenye rungu kuwa karibu na kabati la kioo lililojaa vyombo vya udongo.
Ai ndo maana wanatuteka na kwenda kutuua? Ila hilo walifanyalo historia inqonyesha ni hatua ya mwisho kabla ya anguko
 
Nyumba ni Jina halali na ukitaka kujua hilo nenda mkoani Ruvuma .

Ila Chawa ni laana
Hatuzungumzii Kijiji Cha ruvuma, tunazungimzia maana inayokubalika Tanzania nzima. Hata kwenu umawiani neno 'mwandu' lina maana ya kibumbu/papuchi/sotojo/vuzi/papa/pochi manyoya n.k. lakini maneno mengine hilo neno ni majina ya watu, tena pendwa kabisa.

Nyumbu haijawahi kuwa na maana nzuri
 
Huu ni usiku wa utusitusi...Jogoo awike asiwike, kunakaribia kucha!!
 
Back
Top Bottom