Ni Jambo gani unaloweza kusema Rais Samia hajatekeleza?

CCM wameishiwa pumzi wameanza vitimbwi.
CCM Ni imara sana na inaendelea kuimarika kila siku iendayo kwa Mwenyezi Mungu. Ndio chama kiongozi Barani Afrika kwa uimara na ubora katika kila Eneo,ndio maana imekuwa ikipigiwa kura katika kila uchaguzi na kupita kwa kishindo.itaendelea kuongoza Taifa letu kwa miaka mingi sana ijayo
 
Ndugu zangu Watanzania,

Embu niambieni ndugu zangu Watanzania kuwa ni jambo gani ambalo unaweza kusema kuwa Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania mama wa shoka ,jasiri muongoza njia, shujaa wa Afrika na nuru ya wanyonge Mh. Mama Samia Suluhu Hasssan hajafanya kwa Taifa letu? Kipi ambacho hajagusa? Nini ambacho hajafanya na ambacho kimekuwa kero kwa watanzania? Wapi ambako hajapeleka pesa kwa ajili ya maendeleo? Mkoa upi ambao haujafikiwa na miradi ya Rais Samia?

Niambieni watanzania wenzangu ni jambo gani ambalo watanzania tulihitaji na tulikuwa na kiu nalo na ambalo halijaguswa na Rais wetu? Kundi lipi ambalo halijatendewa haki na Rais wetu? Secta ipi iliyoachwa nyuma? Wapi ambako hakujapelekwa pesa za maendeleo na Rais huyu mcha Mungu ,mchapa kazi, mnyenyekevu, mwenye upendo wa dhati na Taifa letu,mzalendo wa kweli ,akili kubwa na mwenye maono ya mbali?

Nani mwenye afya ya macho na asiye kipofu wa macho na akili hajaona kazi kubwa alizofanya Rais samia kwa Taifa letu? Nani hajaona juhudi za Rais samia? Tunataka Rais Samia afanye nini na kipi ili mioyo yetu iridhike? Changamoto huwa hazikosekani, lakini je hatuoni juhudi za mama yetu katika kutatua changamoto? Hatuoni mipango mikakati hatua kwa hatua katika kumaliza kero mbalimbali? Hatuoni utayari wake katika kuleta suluhisho la kudumu kwa changamoto mbalimbali? Afanye nini zaidi ya haya afanyayo?

Embu tumuungeni mkono Rais wetu, tumpe faraja na kumtia moyo, tuendelee kumuombea ili Mungu amlinde,kumpigania na kumtetea dhidi baya lolote, lisiwepo jambo lolote baya litakaloinuka mbele yake.kila mtu kwa imani yake Aendelea kumuombea afya njema na nguvu za kuendelea kututumikia watanzania.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia Watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya Watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
Kuwarudishia wavuvi malizao ziwa Tanganyika zimerundikwa ikola katavi huko zilizulumiwa namwenda zake mh rais yeye nisuluhu alete suluhu kwenye hili
 
Hakuna atakayeachwa mnyonge katika uongozi wa Rais Samia.
 
Hata umpofoe macho ndio rais wangu nalala salama ukimuacha mungu Nazi yake niyeye ulinzi wake madhubuti mama endelea kutulinda tunakukubali sanaaaaaa
 
Barabara ya Moshi bar hadi Msongola.....wananchi wanaishi kama wakimbizi kwenye nchi yao. Magufuli wakati wa Come-Pain ya mwaka 2020 aliahidi kuijenga kwa kiwango cha lami. Mama hana hata wazo. Mbunge Jerry Silaa hana hata mpango na ndio kwanza anafurahia wananchi wanavyobwia vumbi na kuharibu magari yao asubuhi mchana jioni na usiku 24/7
 
Paschal, nimeguswa na analysis yako,

Tatizo kubwa tulilonalo ni kugeuza bunge la kawaida kuwa bunge la katiba. Rais aliye na nia nzuri ya kupata katiba mpya iliyobora anapaswa kuruhusu wananchi kuchagua wabange maalum kwa ajili ya katiba tu, na kuwe na mashariti kwamba mbunge atakaingia ktk hilo bunge azuhiriwe kugombea nafasi yoyote ya kisiasa kwa vipindi fulani, tuseme vipindi viwili. Lakini hii ya kugeuza bunge la kawaida kuwa bunge la katiba tutasubiri sana kupata katiba iliyo Bora. Kila chama bila kujali ni cha upinzani au tawala kila upande utatetea maslahi binafsi.
Mkuu mbussi , japo haikuwa analysis yangu lakini hoja yako hii, naikubali na niliwahi kuzungumza, katiba bora is a process, ni mchakato unaohitaji muda, yaani time, place and resources Mchakato huu wa Katiba ni umasikini wetu. Tujikubali, tuukubali, tuupigie kura ya ndio
P
 
Paschal Mayalla, niwie radhi kwasababu nilijibu maoni ya Lucas aliyokutag nikidhani ni maneno yako. Tena nilitaka kushangaa, mtu kama wewe kuwaza katika ule muelekeo ni ajabu.
Mkuu mbussi , usijali nimekuelewa na kukupiga darasa la mchakato wa utengenezaji katiba bora. Mchakato huu wa Katiba ni umasikini wetu. Tujikubali, tuukubali, tuupigie kura ya ndio

Pia humu JF, najihesabu ni mmoja wa self made teachers wa katiba
P
 
Ndugu zangu Watanzania,

Embu niambieni ndugu zangu Watanzania kuwa ni jambo gani ambalo unaweza kusema kuwa Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania mama wa shoka ,jasiri muongoza njia, shujaa wa Afrika na nuru ya wanyonge Mh. Mama Samia Suluhu Hasssan hajafanya kwa Taifa letu? Kipi ambacho hajagusa? Nini ambacho hajafanya na ambacho kimekuwa kero kwa watanzania? Wapi ambako hajapeleka pesa kwa ajili ya maendeleo? Mkoa upi ambao haujafikiwa na miradi ya Rais Samia?

Niambieni watanzania wenzangu ni jambo gani ambalo watanzania tulihitaji na tulikuwa na kiu nalo na ambalo halijaguswa na Rais wetu? Kundi lipi ambalo halijatendewa haki na Rais wetu? Secta ipi iliyoachwa nyuma? Wapi ambako hakujapelekwa pesa za maendeleo na Rais huyu mcha Mungu ,mchapa kazi, mnyenyekevu, mwenye upendo wa dhati na Taifa letu,mzalendo wa kweli ,akili kubwa na mwenye maono ya mbali?

Nani mwenye afya ya macho na asiye kipofu wa macho na akili hajaona kazi kubwa alizofanya Rais samia kwa Taifa letu? Nani hajaona juhudi za Rais samia? Tunataka Rais Samia afanye nini na kipi ili mioyo yetu iridhike? Changamoto huwa hazikosekani, lakini je hatuoni juhudi za mama yetu katika kutatua changamoto? Hatuoni mipango mikakati hatua kwa hatua katika kumaliza kero mbalimbali? Hatuoni utayari wake katika kuleta suluhisho la kudumu kwa changamoto mbalimbali? Afanye nini zaidi ya haya afanyayo?

Embu tumuungeni mkono Rais wetu, tumpe faraja na kumtia moyo, tuendelee kumuombea ili Mungu amlinde,kumpigania na kumtetea dhidi baya lolote, lisiwepo jambo lolote baya litakaloinuka mbele yake.kila mtu kwa imani yake Aendelea kumuombea afya njema na nguvu za kuendelea kututumikia watanzania.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia Watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya Watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
Jambo ninalowaza ambalo Rais Samia hajalitekeleza ni yeye kujkuzulu
 
Barabara ya Moshi bar hadi Msongola.....wananchi wanaishi kama wakimbizi kwenye nchi yao. Magufuli wakati wa Come-Pain ya mwaka 2020 aliahidi kuijenga kwa kiwango cha lami. Mama hana hata wazo. Mbunge Jerry Silaa hana hata mpango na ndio kwanza anafurahia wananchi wanavyobwia vumbi na kuharibu magari yao asubuhi mchana jioni na usiku 24/7
Mchezo wa paka Mbwa hauwezi. Kizimkazi kiatu ni kikubwa sana kwake
 
Serikali ya Rais samia imefanya kazi kubwa sana ya kuwapa morali watumishi wa umma , ikiwepo kulipa malimbikizo ya madeni,kuwapandisha madaraja na kuwalipa stahiki zao,kuwapa nyongeza ya mshahara ya kila mwaka.vitu ambavyo watumishi wa umma hawakupewa kwa muda mrefu. Kwa ambao hawajalipwa inakuwa hawajakamilisha taratibu ikiwepo uhakiki juu ya usahihi wa madai yao.lakini kwa wote wenye kukamilisha kila kitu tayari walishalipwa na wanaendelea kuchapa kazi kwa kwenda mbele
Kwa namna ulivojibu kama ww si mwanasiasa basi

Mashukuru kwa kukubaliana nami kuwa kuna madai hayajalipwa kwa sababu mbalimbali ikiwemo unayoita uhakiki nakushukuru kwa kuwa na busara na muungwana kwa hilo. Pili, nakubaliana na ww kuwa kuna vitu kavifanya vingi tu ila nahisi lengo la mada c kuzua ubishi wala kuleta ushabiki bali pengne ni kupata maoni na mrejesho wapi bado. Tatu, kama hivo ndivo basi naomba kujibu hoja zako hivi: 1, kuhusu kulipa kulipa madai ya uhamisho kwa watumishi hapa bado, kuhusu uhakiki kuna madai tangu 2016 mpaka leo yana hakikiwa na mwaka huu tu kuanzia mwezi june mpaka august tu yamehakikiwa zaidi ya mara nne. Anyway basi sawa ni maoni yangu tu
 
Ndugu zangu Watanzania,

Embu niambieni ndugu zangu Watanzania kuwa ni jambo gani ambalo unaweza kusema kuwa Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania mama wa shoka ,jasiri muongoza njia, shujaa wa Afrika na nuru ya wanyonge Mh. Mama Samia Suluhu Hasssan hajafanya kwa Taifa letu? Kipi ambacho hajagusa? Nini ambacho hajafanya na ambacho kimekuwa kero kwa watanzania? Wapi ambako hajapeleka pesa kwa ajili ya maendeleo? Mkoa upi ambao haujafikiwa na miradi ya Rais Samia?

Niambieni watanzania wenzangu ni jambo gani ambalo watanzania tulihitaji na tulikuwa na kiu nalo na ambalo halijaguswa na Rais wetu? Kundi lipi ambalo halijatendewa haki na Rais wetu? Secta ipi iliyoachwa nyuma? Wapi ambako hakujapelekwa pesa za maendeleo na Rais huyu mcha Mungu ,mchapa kazi, mnyenyekevu, mwenye upendo wa dhati na Taifa letu,mzalendo wa kweli ,akili kubwa na mwenye maono ya mbali?

Nani mwenye afya ya macho na asiye kipofu wa macho na akili hajaona kazi kubwa alizofanya Rais samia kwa Taifa letu? Nani hajaona juhudi za Rais samia? Tunataka Rais Samia afanye nini na kipi ili mioyo yetu iridhike? Changamoto huwa hazikosekani, lakini je hatuoni juhudi za mama yetu katika kutatua changamoto? Hatuoni mipango mikakati hatua kwa hatua katika kumaliza kero mbalimbali? Hatuoni utayari wake katika kuleta suluhisho la kudumu kwa changamoto mbalimbali? Afanye nini zaidi ya haya afanyayo?

Embu tumuungeni mkono Rais wetu, tumpe faraja na kumtia moyo, tuendelee kumuombea ili Mungu amlinde,kumpigania na kumtetea dhidi baya lolote, lisiwepo jambo lolote baya litakaloinuka mbele yake.kila mtu kwa imani yake Aendelea kumuombea afya njema na nguvu za kuendelea kututumikia watanzania.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia Watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya Watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
Ambacho hajatekeleza ni kukutibu ugonjwa wa akili unaokusumbua
 
Umeme angalau kwa masaa 18 mfululizo.
Kwa sasa hali ya umeme imeanza kuwa njema sana.Tuipongeze serikali yetu kwa juhudi zake za kuendelea kuhakikisha kuwa Watanzania wanapata umeme wa uhakika,ili waendelee na shughuli zao za kujitafutia riziki zao.
 
Back
Top Bottom