Ni Jambo gani unaloweza kusema Rais Samia hajatekeleza?

Katiba ilishafuatwa sema ninyi majizi na mafisadi mnapenda tu kufisadi nchi.
"Bila ya kuathiri masharti mengineyo ya Ibara hii,kutakuwa na Aina zifuatazo za Wabunge yaani:-
A.Wabunge waliochaguliwa kuwakilisha majimbo ya uchaguzi
B.Wabunge wanawake wa idadi isiyopungua asilimia thelathini ya wabunge wote waliotajwa katika aya za A,C,D,E na F wenye sifa zilizotajwa katika ibara ya 67 watakaochaguliwa na vyama vya siasa kwa mujibu wa ibara ya 78,na kuzingatia uwiano wa kura.
C.Wabunge watano waliochaguliwa na Baraza la Wawakilishi kutoka miongoni mwa wajumbe wake na angalau Wabunge wawili kati yao wakiwa wanawake.
D.Mwanasheria MKUU
E.Wabunge wasiozidi kumi walioteuliwa na Rais kutoka miongoni mwa watu wenye sifa zilizotajwa katika aya za A na C za ibara ya 67 na angalau Wabunge watano kati yao wawe wanawake.
F.Spika,iwapo hatakuwa amechaguliwa kutoka miongoni mwa Wabunge.
 
Nimeisoma vyema makala yako yenye lengo la kuhitaji aanzishe mchakato wa katiba mpya na kuwapa watanzania. Naamini na nina imani kubwa sana na Mh Rais hasa juu ya dhamira yake njema kwa Taifa letu. Katika suala la katiba mpya Tayari alishaonyesha utayari na dhamira yake njema ya kulipatia Taifa letu katiba mpya.ndio maana aliunda hadi vikosi kazi. kwa hiyo uwe na subira naamini Rais wetu kwa uzalendo wake,upendo wake, unyenyekevu wake, usikivu wake na maono yake makubwa atalipatia Taifa katiba ambayo watanzania wanaihitaji.

Kikubwa utakapo fika wakati wa mchakato wa katiba wanasiasa wetu wajiepushe na kujiwazia wao juu ya kupata katiba itakayowarahisishia wao kupata madaraka. mfano uliona kipindi kile cha 2014 namna ambavyo wanasiasa karibu wote hasa wa upinzani wakijikita kwa jambo la idadi ya serikali yaani kuhitaji serikali tatu. Wakati ndani ya Rasimu ile ya Warioba kulikuwa na mambo mengi sana ya muhimu na mazuri kama yangepitishwa. Lazima wanasiasa wajifunze kuwa huwezi ukapata kila kitu unachokihitaji kiwepo kwenye katiba.lazima ukubali yapo yatakayokubalika na wenzio na yapo yatakayo katalika.lakini siyo kususa kama walivyofanya ukawa kwa utoto wao.
Paschal, nimeguswa na analysis yako, lakini kama kawaida yako umeitoa kipambe. Bunge la katiba lililopita ambalo makamu mwenyekiti alikuwa Samia halikukwamishwa na vyama vya upinzani kama unavyotaka kutuaminisha bali tamaa ya madaraka ya wanasiasa wa CCM. Tofauti na mawazo yako, kwa sasa Rais Samia hana nia yoyote na katiba mpya mbali na kuunda hiyo tume uliyoisema. Ni juzi juzi tu ametoa hotuba ya ajabu kuhusu katiba, hotuba ambayo wewe binafsi ulikuwepo physically ktk ukumbi wa mwal. Nyerere. Pamoja na tume zote zilizowahi kuundwa na watangulizi wake, na yeye binafsi kuwepo kwenye bunge la katiba tena akiwa makamo mwenyekiti lakini bado anaona katiba ni kijitabu tu kisichoweza kumletea mwananchi maendeleo, huyo ndiye unadai ana nia ya kuwaletea katiba mpya? Kijitabu kilichomuweka yeye madarakani anadai wananchi hawakielewi na wanaitaji mafunzo ya miaka mitatu!!!

Tatizo kubwa tulilonalo ni kugeuza bunge la kawaida kuwa bunge la katiba. Rais aliye na nia nzuri ya kupata katiba mpya iliyobora anapaswa kuruhusu wananchi kuchagua wabange maalum kwa ajili ya katiba tu, na kuwe na mashariti kwamba mbunge atakaingia ktk hilo bunge azuhiriwe kugombea nafasi yoyote ya kisiasa kwa vipindi fulani, tuseme vipindi viwili. Lakini hii ya kugeuza bunge la kawaida kuwa bunge la katiba tutasubiri sana kupata katiba iliyo Bora. Kila chama bila kujali ni cha upinzani au tawala kila upande utatetea maslahi binafsi.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Embu niambieni ndugu zangu Watanzania kuwa ni jambo gani ambalo unaweza kusema kuwa Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania mama wa shoka ,jasiri muongoza njia, shujaa wa Afrika na nuru ya wanyonge Mh. Mama Samia Suluhu Hasssan hajafanya kwa Taifa letu? Kipi ambacho hajagusa? Nini ambacho hajafanya na ambacho kimekuwa kero kwa watanzania? Wapi ambako hajapeleka pesa kwa ajili ya maendeleo? Mkoa upi ambao haujafikiwa na miradi ya Rais Samia?

Niambieni watanzania wenzangu ni jambo gani ambalo watanzania tulihitaji na tulikuwa na kiu nalo na ambalo halijaguswa na Rais wetu? Kundi lipi ambalo halijatendewa haki na Rais wetu? Secta ipi iliyoachwa nyuma? Wapi ambako hakujapelekwa pesa za maendeleo na Rais huyu mcha Mungu ,mchapa kazi, mnyenyekevu, mwenye upendo wa dhati na Taifa letu,mzalendo wa kweli ,akili kubwa na mwenye maono ya mbali?

Nani mwenye afya ya macho na asiye kipofu wa macho na akili hajaona kazi kubwa alizofanya Rais samia kwa Taifa letu? Nani hajaona juhudi za Rais samia? Tunataka Rais Samia afanye nini na kipi ili mioyo yetu iridhike? Changamoto huwa hazikosekani, lakini je hatuoni juhudi za mama yetu katika kutatua changamoto? Hatuoni mipango mikakati hatua kwa hatua katika kumaliza kero mbalimbali? Hatuoni utayari wake katika kuleta suluhisho la kudumu kwa changamoto mbalimbali? Afanye nini zaidi ya haya afanyayo?

Embu tumuungeni mkono Rais wetu, tumpe faraja na kumtia moyo, tuendelee kumuombea ili Mungu amlinde,kumpigania na kumtetea dhidi baya lolote, lisiwepo jambo lolote baya litakaloinuka mbele yake.kila mtu kwa imani yake Aendelea kumuombea afya njema na nguvu za kuendelea kututumikia watanzania.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia Watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya Watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
Wakati mwingine mtu unahisi wamekusagia ndimu mdomoni. Siyo kwa sifa hizo! Hadi anayesifiwa anaweza kujiuliza huyo kweli ni mimi au?
 
Duuh wakati unam-address umesahu neno Dr...na pia ili akuone mapema ongezea, shujaa wa dunia, the conquerer of the British empire, MC, PBC, nk.

Hivi ndugu yangu una tatizo gani? unaokoteleza sifa hadi unaemsifia anafikia hatua ya kuchukia.!!!
 
Wakati mwingine mtu unahisi wamekusagia ndimu mdomoni. Siyo kwa sifa hizo! Hadi anayesifiwa anaweza kujiuliza huyo kweli ni mimi au?
Mimi nazungumza ukweli na siyo kutoa sifa kwa mtu au kiongozi zisizo kuwepo au asizostahili.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Embu niambieni ndugu zangu Watanzania kuwa ni jambo gani ambalo unaweza kusema kuwa Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania mama wa shoka ,jasiri muongoza njia, shujaa wa Afrika na nuru ya wanyonge Mh. Mama Samia Suluhu Hasssan hajafanya kwa Taifa letu? Kipi ambacho hajagusa? Nini ambacho hajafanya na ambacho kimekuwa kero kwa watanzania? Wapi ambako hajapeleka pesa kwa ajili ya maendeleo? Mkoa upi ambao haujafikiwa na miradi ya Rais Samia?

Niambieni watanzania wenzangu ni jambo gani ambalo watanzania tulihitaji na tulikuwa na kiu nalo na ambalo halijaguswa na Rais wetu? Kundi lipi ambalo halijatendewa haki na Rais wetu? Secta ipi iliyoachwa nyuma? Wapi ambako hakujapelekwa pesa za maendeleo na Rais huyu mcha Mungu ,mchapa kazi, mnyenyekevu, mwenye upendo wa dhati na Taifa letu,mzalendo wa kweli ,akili kubwa na mwenye maono ya mbali?

Nani mwenye afya ya macho na asiye kipofu wa macho na akili hajaona kazi kubwa alizofanya Rais samia kwa Taifa letu? Nani hajaona juhudi za Rais samia? Tunataka Rais Samia afanye nini na kipi ili mioyo yetu iridhike? Changamoto huwa hazikosekani, lakini je hatuoni juhudi za mama yetu katika kutatua changamoto? Hatuoni mipango mikakati hatua kwa hatua katika kumaliza kero mbalimbali? Hatuoni utayari wake katika kuleta suluhisho la kudumu kwa changamoto mbalimbali? Afanye nini zaidi ya haya afanyayo?

Embu tumuungeni mkono Rais wetu, tumpe faraja na kumtia moyo, tuendelee kumuombea ili Mungu amlinde,kumpigania na kumtetea dhidi baya lolote, lisiwepo jambo lolote baya litakaloinuka mbele yake.kila mtu kwa imani yake Aendelea kumuombea afya njema na nguvu za kuendelea kututumikia watanzania.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia Watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya Watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
Wewe sema lipi katekeleza
 
Jamaa hadi leo hajapata kazi, teuzi, dili lolote katika system😂😂😂 wakat kuna jamaa yangu alipigiwa simu na mteuzi kumuambia kwamba angependelea amteue kwenye position fulani?! Maisha hayana formula kwakweli
Hauziki. Ni ngumu mtu wa hivi kuteuliwa. Anapamba mpaka mteuaji anaona hii Mafuta ya taa hii.
 
Nimeshayaeleza humu jukwaani hadi basi.nimeyataja kwa takwimu na ushahidi.
Hujawahi. Taja mawili tu. Tatizo umejikita kwenye njaa zaidi. Hii kwako ni kufeli. Hata huyo mamako anaogopa kukuteua sababu unamsifia vitu ambayo hata yeye anakushangaa.🤣🤣🤣
 
Ndugu zangu Watanzania,

Embu niambieni ndugu zangu Watanzania kuwa ni jambo gani ambalo unaweza kusema kuwa Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania mama wa shoka ,jasiri muongoza njia, shujaa wa Afrika na nuru ya wanyonge Mh. Mama Samia Suluhu Hasssan hajafanya kwa Taifa letu? Kipi ambacho hajagusa? Nini ambacho hajafanya na ambacho kimekuwa kero kwa watanzania? Wapi ambako hajapeleka pesa kwa ajili ya maendeleo? Mkoa upi ambao haujafikiwa na miradi ya Rais Samia?

Niambieni watanzania wenzangu ni jambo gani ambalo watanzania tulihitaji na tulikuwa na kiu nalo na ambalo halijaguswa na Rais wetu? Kundi lipi ambalo halijatendewa haki na Rais wetu? Secta ipi iliyoachwa nyuma? Wapi ambako hakujapelekwa pesa za maendeleo na Rais huyu mcha Mungu ,mchapa kazi, mnyenyekevu, mwenye upendo wa dhati na Taifa letu,mzalendo wa kweli ,akili kubwa na mwenye maono ya mbali?

Nani mwenye afya ya macho na asiye kipofu wa macho na akili hajaona kazi kubwa alizofanya Rais samia kwa Taifa letu? Nani hajaona juhudi za Rais samia? Tunataka Rais Samia afanye nini na kipi ili mioyo yetu iridhike? Changamoto huwa hazikosekani, lakini je hatuoni juhudi za mama yetu katika kutatua changamoto? Hatuoni mipango mikakati hatua kwa hatua katika kumaliza kero mbalimbali? Hatuoni utayari wake katika kuleta suluhisho la kudumu kwa changamoto mbalimbali? Afanye nini zaidi ya haya afanyayo?

Embu tumuungeni mkono Rais wetu, tumpe faraja na kumtia moyo, tuendelee kumuombea ili Mungu amlinde,kumpigania na kumtetea dhidi baya lolote, lisiwepo jambo lolote baya litakaloinuka mbele yake.kila mtu kwa imani yake Aendelea kumuombea afya njema na nguvu za kuendelea kututumikia watanzania.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia Watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya Watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
Unataka ukoo wako uingie serikalini😅😅
 
Binafsi naona mama ni package iliyokamilika she deserves another term in office
Binafsi simdai chochote , kajitahidi kugusa kila mahali japo mimi siungi mkono ccm kuendelea kuongoza taifa letu ila mama kajitahidi na kama hatobadilika kura yangu anayo nikiwa hai.
 
Mama tunashukuru kwa kujenga shule nyingi nchini na pia hakuna walimu ni jambo zuri sana usiwalete tu hao waalimu waache waendelee kusota mtaani KWANI watoto watajifundisha wenyewe mpaka waelewe tuu
 
Attachments

  • IMG-20231019-WA0005.jpg
    IMG-20231019-WA0005.jpg
    26.6 KB · Views: 16
Back
Top Bottom