Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,178
- 25,990
- Thread starter
- #141
Siyo kila mtu ni mwenye njaa kama ilivyo kwako wewe.Ni mjinga sana huyu hana story nyingine ni samia samia ana njaa kali sana ya uteuzi
Siyo kila mtu ni mwenye njaa kama ilivyo kwako wewe.Ni mjinga sana huyu hana story nyingine ni samia samia ana njaa kali sana ya uteuzi
Kusema ukweli mkuu una njaa za kufa mtu maana mahaba uliyo nayo kwa Mama Abdul yamepitiliza mno.Siyo kila mtu ni mwenye njaa kama ilivyo kwako wewe.
Mimi ni mkulima na nakula kwa jasho langu kupitia mikono yangu .kwa hiyo sina njaa kama unavyofikiria weweKusema ukweli mkuu una njaa za kufa mtu maana mahaba uliyo nayo kwa Mama Abdul yamepitiliza mno.
Mkulima gani anayepoteza kumsifia jirani kila siku?Mimi ni mkulima na nakula kwa jasho langu kupitia mikono yangu .kwa hiyo sina njaa kama unavyofikiria wewe
Watumishi wa umma wako taabani kwa umasikini.