Lambardi
Platinum Member
- Feb 7, 2008
- 20,262
- 24,672
Chawa number 1....ooohhj ongeza speed weka number yako utatokea humo humoHaiwezi ikamshinda

Hata kipofu lakini mwenye akili Timamu anatambua namna Rais samia alivyofanya kazi kubwa kwa Taifa letu Ni kipofu wa akili pekee ndiye anayeweza kusema kuwa Rais samia hajafanya chochote.Hakuna chochote alichokifanya hivyo hastahili kuwekea kwenye mizania yoyote....rais jina tu..
Hana vision yoyote.Ndugu zangu Watanzania,
Embu niambieni ndugu zangu Watanzania kuwa ni jambo gani ambalo unaweza kusema kuwa Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania mama wa shoka ,jasiri muongoza njia, shujaa wa Afrika na nuru ya wanyonge Mh. Mama Samia Suluhu Hasssan hajafanya kwa Taifa letu? Kipi ambacho hajagusa? Nini ambacho hajafanya na ambacho kimekuwa kero kwa watanzania? Wapi ambako hajapeleka pesa kwa ajili ya maendeleo? Mkoa upi ambao haujafikiwa na miradi ya Rais Samia?
Niambieni watanzania wenzangu ni jambo gani ambalo watanzania tulihitaji na tulikuwa na kiu nalo na ambalo halijaguswa na Rais wetu? Kundi lipi ambalo halijatendewa haki na Rais wetu? Secta ipi iliyoachwa nyuma? Wapi ambako hakujapelekwa pesa za maendeleo na Rais huyu mcha Mungu ,mchapa kazi, mnyenyekevu, mwenye upendo wa dhati na Taifa letu,mzalendo wa kweli ,akili kubwa na mwenye maono ya mbali?
Nani mwenye afya ya macho na asiye kipofu wa macho na akili hajaona kazi kubwa alizofanya Rais samia kwa Taifa letu? Nani hajaona juhudi za Rais samia? Tunataka Rais Samia afanye nini na kipi ili mioyo yetu iridhike? Changamoto huwa hazikosekani, lakini je hatuoni juhudi za mama yetu katika kutatua changamoto? Hatuoni mipango mikakati hatua kwa hatua katika kumaliza kero mbalimbali? Hatuoni utayari wake katika kuleta suluhisho la kudumu kwa changamoto mbalimbali? Afanye nini zaidi ya haya afanyayo?
Embu tumuungeni mkono Rais wetu, tumpe faraja na kumtia moyo, tuendelee kumuombea ili Mungu amlinde,kumpigania na kumtetea dhidi baya lolote, lisiwepo jambo lolote baya litakaloinuka mbele yake.kila mtu kwa imani yake Aendelea kumuombea afya njema na nguvu za kuendelea kututumikia watanzania.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia Watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya Watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
0742-676627.
Una stahili teuzi,maana kazi unayofanya hata steve nyerere,mwijaku hawaifanyi ipasavyoMimi sina hofu katika kuusema ukweli. Maana kuna watu humu wanaumizwa sana na mafanikio ya Rais samia aliyoyapata na kulipatia Taifa letu
Rais wetu ana maono makubwa sana ndio maana unaona ndani ya muda mfupi uchumi wetu umekua kwa kasi ya ndege vita. Ndani ya muda mfupi mapato kwa mwezi yameongezeka na kufikia Trilioni mbili na point.wawekezaji na watalii wameendelea kumiminika kila uchwao kutokana na sera nzuri za kiuchumi na kiuwekezaji.Hana vision yoyote.
Jambo lilimshinda kuwaondoa mashoga kama nyinyi ndani ya ccmNdugu zangu Watanzania,
Embu niambieni ndugu zangu Watanzania kuwa ni jambo gani ambalo unaweza kusema kuwa Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania mama wa shoka ,jasiri muongoza njia, shujaa wa Afrika na nuru ya wanyonge Mh. Mama Samia Suluhu Hasssan hajafanya kwa Taifa letu? Kipi ambacho hajagusa? Nini ambacho hajafanya na ambacho kimekuwa kero kwa watanzania? Wapi ambako hajapeleka pesa kwa ajili ya maendeleo? Mkoa upi ambao haujafikiwa na miradi ya Rais Samia?
Niambieni watanzania wenzangu ni jambo gani ambalo watanzania tulihitaji na tulikuwa na kiu nalo na ambalo halijaguswa na Rais wetu? Kundi lipi ambalo halijatendewa haki na Rais wetu? Secta ipi iliyoachwa nyuma? Wapi ambako hakujapelekwa pesa za maendeleo na Rais huyu mcha Mungu ,mchapa kazi, mnyenyekevu, mwenye upendo wa dhati na Taifa letu,mzalendo wa kweli ,akili kubwa na mwenye maono ya mbali?
Nani mwenye afya ya macho na asiye kipofu wa macho na akili hajaona kazi kubwa alizofanya Rais samia kwa Taifa letu? Nani hajaona juhudi za Rais samia? Tunataka Rais Samia afanye nini na kipi ili mioyo yetu iridhike? Changamoto huwa hazikosekani, lakini je hatuoni juhudi za mama yetu katika kutatua changamoto? Hatuoni mipango mikakati hatua kwa hatua katika kumaliza kero mbalimbali? Hatuoni utayari wake katika kuleta suluhisho la kudumu kwa changamoto mbalimbali? Afanye nini zaidi ya haya afanyayo?
Embu tumuungeni mkono Rais wetu, tumpe faraja na kumtia moyo, tuendelee kumuombea ili Mungu amlinde,kumpigania na kumtetea dhidi baya lolote, lisiwepo jambo lolote baya litakaloinuka mbele yake.kila mtu kwa imani yake Aendelea kumuombea afya njema na nguvu za kuendelea kututumikia watanzania.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia Watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya Watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
0742-676627.
Jambo kubwa ni kuwa hajapambana na mafisadi na wabadhirifu wa pesa za umma na wala hajaonesha mpango wowote wa kupambana nao hii ni dosari kubwa sana upandewakeNdugu zangu Watanzania,

Ukitaka ukione cha mtema kuni basi wewe Gusa pesa za umma uone namna utakavyojuta kuzaliwa TanzaniaJambo kubwa ni kuwa hajapambana na mafisadi na wabadhirifu wa pesa za umma na wala hajaonesha mpango wowote wa kupambana nao hii ni dosari kubwa sana upandewake
Hajajiuliza tu kwa nini baadhi ya wabunge wake wanalia mbele ya wananchi!?Huteuliwi ng'o
Serikali ya Rais samia imefanya kazi kubwa sana ya kuwapa morali watumishi wa umma , ikiwepo kulipa malimbikizo ya madeni,kuwapandisha madaraja na kuwalipa stahiki zao,kuwapa nyongeza ya mshahara ya kila mwaka.vitu ambavyo watumishi wa umma hawakupewa kwa muda mrefu. Kwa ambao hawajalipwa inakuwa hawajakamilisha taratibu ikiwepo uhakiki juu ya usahihi wa madai yao.lakini kwa wote wenye kukamilisha kila kitu tayari walishalipwa na wanaendelea kuchapa kazi kwa kwenda mbeleAmefanya mengi ila pia kuna vitu anasema hatekelezi. Mfano hajalipa madai ya wafanyakaz kama anavosema kwenye vyombo vya habar mfano madai ya uhamisho pia nyongeza za mishahara c kama alivojinasibu nk
Nazungumzia eneo ninaloishi,samia hajatusaidia chochote,barabara ni mbovu mno,majengo ya shule yamechakaa,maji yamekauka bombani,umeme si wa uhakika tena,yaani hakuna chochote kipya,hadi viongozi wa mtaa (ni wa ccm wote) wanamlaumu samia,sijui huko kwenu.Jibu swali kuwa ni jambo gani ambalo mh Rais wetu hajatekeleza au kufanya katika Taifa letu?
Mama ameshamaliza yote tuliyotegemea na aliyoahidi ... Tumeshatoka middle income country tumefika high income country...Ndugu zangu Watanzania,
Embu niambieni ndugu zangu Watanzania kuwa ni jambo gani ambalo unaweza kusema kuwa Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania mama wa shoka ,jasiri muongoza njia, shujaa wa Afrika na nuru ya wanyonge Mh. Mama Samia Suluhu Hasssan hajafanya kwa Taifa letu? Kipi ambacho hajagusa? Nini ambacho hajafanya na ambacho kimekuwa kero kwa watanzania? Wapi ambako hajapeleka pesa kwa ajili ya maendeleo? Mkoa upi ambao haujafikiwa na miradi ya Rais Samia?
Niambieni watanzania wenzangu ni jambo gani ambalo watanzania tulihitaji na tulikuwa na kiu nalo na ambalo halijaguswa na Rais wetu? Kundi lipi ambalo halijatendewa haki na Rais wetu? Secta ipi iliyoachwa nyuma? Wapi ambako hakujapelekwa pesa za maendeleo na Rais huyu mcha Mungu ,mchapa kazi, mnyenyekevu, mwenye upendo wa dhati na Taifa letu,mzalendo wa kweli ,akili kubwa na mwenye maono ya mbali?
Nani mwenye afya ya macho na asiye kipofu wa macho na akili hajaona kazi kubwa alizofanya Rais samia kwa Taifa letu? Nani hajaona juhudi za Rais samia? Tunataka Rais Samia afanye nini na kipi ili mioyo yetu iridhike? Changamoto huwa hazikosekani, lakini je hatuoni juhudi za mama yetu katika kutatua changamoto? Hatuoni mipango mikakati hatua kwa hatua katika kumaliza kero mbalimbali? Hatuoni utayari wake katika kuleta suluhisho la kudumu kwa changamoto mbalimbali? Afanye nini zaidi ya haya afanyayo?
Embu tumuungeni mkono Rais wetu, tumpe faraja na kumtia moyo, tuendelee kumuombea ili Mungu amlinde,kumpigania na kumtetea dhidi baya lolote, lisiwepo jambo lolote baya litakaloinuka mbele yake.kila mtu kwa imani yake Aendelea kumuombea afya njema na nguvu za kuendelea kututumikia watanzania.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia Watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya Watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
0742-676627.
Kuhusu fedha za pre Bargain lazima ufahamu ya kuwa kina taratibu za kisheria na kibenki unapokuwa unashughulikia fedha zinazokuwa zimefichwa nje ya nchi. Lazima upate vibali na ushirikiano kutoka nchi husika na utaratibu wa kibenki,ni lazima uanzie pia ndani ya nchi yako katika kuwabaini wahusika na kuwa na ushahidi wote wa kinyaraka juu ya namna fedha zilivyokuwa zinahamishwa na zilikopitia na tarehe husika. Vyombo vyetu vipo kazini na vinaendelea na kazi hiyo tangia mh Rais wetu mpendwa alipoyazungumza hayo hadharani juu ya suala hilo.Samia hajazirejesha zile fedha za Plea Bargain zilizofichwa CHINA
Samia hajamvua Ujaji Biswalo Mganga na kumsimamisha Mahakamani
Samia hayuko serious na Ripoti ya CAG ya upigaji mkubwa wa kutisha wa fedha zetu za kodi.