Ni Jambo gani unaloweza kusema Rais Samia hajatekeleza?

Yeye anavyogawa hizo milioni 10,10 kwenye mipira anatumia sheria ipi?
kwa akili yako unafikiri Rais wetu amelitumikia Taifa letu katika ofisi ngapi? Amekuwa mbunge na waziri kwa muda gani? Amekuwa makamu wa Rais kwa muda gani ? Kwa hiyo kwa akili yako unafikiri Anaweza kushindwa kuwa na million kumi kwa ajili ya kuwapa na kuwaongezea wachezaji wetu. Kiu ya kutafuta ushindi uwanjani wa goli nyingi?
 
Una uhakika gani hizo pesa zinatoka mifukoni mwake?
 
Ndugu zangu Watanzania,

Embu niambieni ndugu zangu Watanzania kuwa ni jambo gani ambalo unaweza kusema kuwa Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania mama wa shoka ,jasiri muongoza njia, shujaa wa Afrika na nuru ya wanyonge Mh. Mama Samia Suluhu Hasssan hajafanya kwa Taifa letu? Kipi ambacho hajagusa? Nini ambacho hajafanya na ambacho kimekuwa kero kwa watanzania? Wapi ambako hajapeleka pesa kwa ajili ya maendeleo? Mkoa upi ambao haujafikiwa na miradi ya Rais Samia?

Niambieni watanzania wenzangu ni jambo gani ambalo watanzania tulihitaji na tulikuwa na kiu nalo na ambalo halijaguswa na Rais wetu? Kundi lipi ambalo halijatendewa haki na Rais wetu? Secta ipi iliyoachwa nyuma? Wapi ambako hakujapelekwa pesa za maendeleo na Rais huyu mcha Mungu ,mchapa kazi, mnyenyekevu, mwenye upendo wa dhati na Taifa letu,mzalendo wa kweli ,akili kubwa na mwenye maono ya mbali?

Nani mwenye afya ya macho na asiye kipofu wa macho na akili hajaona kazi kubwa alizofanya Rais samia kwa Taifa letu? Nani hajaona juhudi za Rais samia? Tunataka Rais Samia afanye nini na kipi ili mioyo yetu iridhike? Changamoto huwa hazikosekani, lakini je hatuoni juhudi za mama yetu katika kutatua changamoto? Hatuoni mipango mikakati hatua kwa hatua katika kumaliza kero mbalimbali? Hatuoni utayari wake katika kuleta suluhisho la kudumu kwa changamoto mbalimbali? Afanye nini zaidi ya haya afanyayo?

Embu tumuungeni mkono Rais wetu, tumpe faraja na kumtia moyo, tuendelee kumuombea ili Mungu amlinde,kumpigania na kumtetea dhidi baya lolote, lisiwepo jambo lolote baya litakaloinuka mbele yake.kila mtu kwa imani yake Aendelea kumuombea afya njema na nguvu za kuendelea kututumikia watanzania.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia Watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya Watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
Umeme ni shida kupita maelezo.
 
Samia hajazirejesha zile fedha za Plea Bargain zilizofichwa CHINA

Samia hajamvua Ujaji Biswalo Mganga na kumsimamisha Mahakamani

Samia hayuko serious na Ripoti ya CAG ya upigaji mkubwa wa kutisha wa fedha zetu za kodi.
Na wabunge feki Bungeni wale kumi na tisa wa viti maalum.
 
Umeme ni shida kupita maelezo.
Hali itatengemaa muda siyo mrefu kwa kuwa serikali inaendelea na juhudi za kutengeneza mitambo iliyokuwa na uchakavu,lakini pia kuongeza vyanzo vingine vya kuzalisha umeme pamoja na kuendelea kukamilisha bwawa la mwalimu Nyerere litakalotupatia megawati 2115. Kwa hiyo tuwe na subira mambo yatakuwa mazuri mpaka kila mmoja atasahau kabisa habari za mgao wa umeme na kuhisi yupo ulaya.
 
Na wabunge feki Bungeni wale kumi na tisa wa viti maalum.
Kuhusu wale wabunge ni kuwa chama chao kilifungua kesi mahakamani.lakini pia jiulize mbona wale wabunge wengine ni wake wa viongozi waandamizi wa CHADEMA? Huoni kuwa wale wabunge wana baraka zote za chama chao na viongozi wao wa juu japo wanajifanya wanawakataa?
 
Hali itatengemaa muda siyo mrefu kwa kuwa serikali inaendelea na juhudi za kutengeneza mitambo iliyokuwa na uchakavu,lakini pia kuongeza vyanzo vingine vya kuzalisha umeme pamoja na kuendelea kukamilisha bwawa la mwalimu Nyerere litakalotupatia megawati 2115. Kwa hiyo tuwe na subira mambo yatakuwa mazuri mpaka kila mmoja atasahau kabisa habari za mgao wa umeme na kuhisi yupo ulaya.
Gesi ya Mtwara iko wapi tangu 2010?
 
Kuhusu wale wabunge ni kuwa chama chao kilifungua kesi mahakamani.lakini pia jiulize mbona wale wabunge wengine ni wake wa viongozi waandamizi wa CHADEMA? Huoni kuwa wale wabunge wana baraka zote za chama chao na viongozi wao wa juu japo wanajifanya wanawakataa?
Waliofungua kesi mahakamani ni wao na siyo Chama,Chama kilishawafukuza kitambo.
 
Huwezi kufukuza wanachama wako kama kuku.lazima ufuate katiba ,kanuni na sheria za chama.kwa hiyo wao waliona wameonewa na kuna ukiukwaji wa katiba ndio maana walikata rufaa ili wapate haki yao.
 
Katiba ilishafuatwa sema ninyi majizi na mafisadi mnapenda tu kufisadi nchi.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Embu niambieni ndugu zangu Watanzania kuwa ni jambo gani ambalo unaweza kusema kuwa Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania mama wa shoka ,jasiri muongoza njia, shujaa wa Afrika na nuru ya wanyonge Mh. Mama Samia Suluhu Hasssan hajafanya kwa Taifa letu? Kipi ambacho hajagusa? Nini ambacho hajafanya na ambacho kimekuwa kero kwa watanzania? Wapi ambako hajapeleka pesa kwa ajili ya maendeleo? Mkoa upi ambao haujafikiwa na miradi ya Rais Samia?

Niambieni watanzania wenzangu ni jambo gani ambalo watanzania tulihitaji na tulikuwa na kiu nalo na ambalo halijaguswa na Rais wetu? Kundi lipi ambalo halijatendewa haki na Rais wetu? Secta ipi iliyoachwa nyuma? Wapi ambako hakujapelekwa pesa za maendeleo na Rais huyu mcha Mungu ,mchapa kazi, mnyenyekevu, mwenye upendo wa dhati na Taifa letu,mzalendo wa kweli ,akili kubwa na mwenye maono ya mbali?

Nani mwenye afya ya macho na asiye kipofu wa macho na akili hajaona kazi kubwa alizofanya Rais samia kwa Taifa letu? Nani hajaona juhudi za Rais samia? Tunataka Rais Samia afanye nini na kipi ili mioyo yetu iridhike? Changamoto huwa hazikosekani, lakini je hatuoni juhudi za mama yetu katika kutatua changamoto? Hatuoni mipango mikakati hatua kwa hatua katika kumaliza kero mbalimbali? Hatuoni utayari wake katika kuleta suluhisho la kudumu kwa changamoto mbalimbali? Afanye nini zaidi ya haya afanyayo?

Embu tumuungeni mkono Rais wetu, tumpe faraja na kumtia moyo, tuendelee kumuombea ili Mungu amlinde,kumpigania na kumtetea dhidi baya lolote, lisiwepo jambo lolote baya litakaloinuka mbele yake.kila mtu kwa imani yake Aendelea kumuombea afya njema na nguvu za kuendelea kututumikia watanzania.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia Watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya Watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
👇👇
 
Attachments

  • IMG-20231019-WA0005.jpg
    IMG-20231019-WA0005.jpg
    26.6 KB · Views: 15
Katiba ilishafuatwa sema ninyi majizi na mafisadi mnapenda tu kufisadi nchi.
"Bila ya kuathiri masharti mengineyo ya Ibara hii,kutakuwa na Aina zifuatazo za Wabunge yaani:-
A.Wabunge waliochaguliwa kuwakilisha majimbo ya uchaguzi
B.Wabunge wanawake wa idadi isiyopungua asilimia thelathini ya wabunge wote waliotajwa katika aya za A,C,D,E na F wenye sifa zilizotajwa katika ibara ya 67 watakaochaguliwa na vyama vya siasa kwa mujibu wa ibara ya 78,na kuzingatia uwiano wa kura.
C.Wabunge watano waliochaguliwa na Baraza la Wawakilishi kutoka miongoni mwa wajumbe wake na angalau Wabunge wawili kati yao wakiwa wanawake.
D.Mwanasheria MKUU
E.Wabunge wasiozidi kumi walioteuliwa na Rais kutoka miongoni mwa watu wenye sifa zilizotajwa katika aya za A na C za ibara ya 67 na angalau Wabunge watano kati yao wawe wanawake.
F.Spika,iwapo hatakuwa amechaguliwa kutoka miongoni mwa Wabunge.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Embu niambieni ndugu zangu Watanzania kuwa ni jambo gani ambalo unaweza kusema kuwa Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania mama wa shoka ,jasiri muongoza njia, shujaa wa Afrika na nuru ya wanyonge Mh. Mama Samia Suluhu Hasssan hajafanya kwa Taifa letu? Kipi ambacho hajagusa? Nini ambacho hajafanya na ambacho kimekuwa kero kwa watanzania? Wapi ambako hajapeleka pesa kwa ajili ya maendeleo? Mkoa upi ambao haujafikiwa na miradi ya Rais Samia?

Niambieni watanzania wenzangu ni jambo gani ambalo watanzania tulihitaji na tulikuwa na kiu nalo na ambalo halijaguswa na Rais wetu? Kundi lipi ambalo halijatendewa haki na Rais wetu? Secta ipi iliyoachwa nyuma? Wapi ambako hakujapelekwa pesa za maendeleo na Rais huyu mcha Mungu ,mchapa kazi, mnyenyekevu, mwenye upendo wa dhati na Taifa letu,mzalendo wa kweli ,akili kubwa na mwenye maono ya mbali?

Nani mwenye afya ya macho na asiye kipofu wa macho na akili hajaona kazi kubwa alizofanya Rais samia kwa Taifa letu? Nani hajaona juhudi za Rais samia? Tunataka Rais Samia afanye nini na kipi ili mioyo yetu iridhike? Changamoto huwa hazikosekani, lakini je hatuoni juhudi za mama yetu katika kutatua changamoto? Hatuoni mipango mikakati hatua kwa hatua katika kumaliza kero mbalimbali? Hatuoni utayari wake katika kuleta suluhisho la kudumu kwa changamoto mbalimbali? Afanye nini zaidi ya haya afanyayo?

Embu tumuungeni mkono Rais wetu, tumpe faraja na kumtia moyo, tuendelee kumuombea ili Mungu amlinde,kumpigania na kumtetea dhidi baya lolote, lisiwepo jambo lolote baya litakaloinuka mbele yake.kila mtu kwa imani yake Aendelea kumuombea afya njema na nguvu za kuendelea kututumikia watanzania.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia Watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya Watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
Soma kuhusu, Ostracisms
 
Ndugu zangu Watanzania,

Embu niambieni ndugu zangu Watanzania kuwa ni jambo gani ambalo unaweza kusema kuwa Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania mama wa shoka ,jasiri muongoza njia, shujaa wa Afrika na nuru ya wanyonge Mh. Mama Samia Suluhu Hasssan hajafanya kwa Taifa letu? Kipi ambacho hajagusa?

Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
Mkuu Lucas mwashambwa, kuna jambo bado kwenye pongezi hizi, Hongera Sana Rais Samia kwa Miaka Miwili Madarakani. Japo Umefanya Mengi, Makubwa, Mazuri, Lakini Bado! Linalowezekana Leo, Lisingoje Kesho!
P
 
Nimeisoma vyema makala yako yenye lengo la kuhitaji aanzishe mchakato wa katiba mpya na kuwapa watanzania. Naamini na nina imani kubwa sana na Mh Rais hasa juu ya dhamira yake njema kwa Taifa letu. Katika suala la katiba mpya Tayari alishaonyesha utayari na dhamira yake njema ya kulipatia Taifa letu katiba mpya.ndio maana aliunda hadi vikosi kazi. kwa hiyo uwe na subira naamini Rais wetu kwa uzalendo wake,upendo wake, unyenyekevu wake, usikivu wake na maono yake makubwa atalipatia Taifa katiba ambayo watanzania wanaihitaji.

Kikubwa utakapo fika wakati wa mchakato wa katiba wanasiasa wetu wajiepushe na kujiwazia wao juu ya kupata katiba itakayowarahisishia wao kupata madaraka. mfano uliona kipindi kile cha 2014 namna ambavyo wanasiasa karibu wote hasa wa upinzani wakijikita kwa jambo la idadi ya serikali yaani kuhitaji serikali tatu. Wakati ndani ya Rasimu ile ya Warioba kulikuwa na mambo mengi sana ya muhimu na mazuri kama yangepitishwa. Lazima wanasiasa wajifunze kuwa huwezi ukapata kila kitu unachokihitaji kiwepo kwenye katiba.lazima ukubali yapo yatakayokubalika na wenzio na yapo yatakayo katalika.lakini siyo kususa kama walivyofanya ukawa kwa utoto wao.
 
Back
Top Bottom