Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 39,850
- 25,724
- Thread starter
- #41
Haiwezi ikamshindaSGR itamshinda....
Haiwezi ikamshindaSGR itamshinda....
Mimi huwa sitoi sifa za kinafiki. Ndio maana huonyesha aliyoyafanya mtu ambayo yanaonekana machoni pa Kila mtu asiye kipofu wa macho na akili.Nimewahi kuwa kiongozi sehemu fulani Katika idara, hakuna kitu kilikuwa kinaniuma kama mtu kunisifia nafanya kazi vizuri wakati mimi nikijitafakari naona kabisa Kuna vitu vingi haviko sawa. So Mimi sio muumini wa kupenda sifa za kinafiki.
Jibu swali ni jambo gani hajatekeleza? Blaa blaa za chuki zako hazisaidii ,ameangukiwa ndio jibu hapa baada ya kuangukiwa hajatekeleza nini?Samia hana hadhi ya kuwa rais, ameangukiwa tu na bahati.
Hakuna mtu mwenye akili timamu mtaka maendeleo atasimama kwenye foleni kumpigia kura hangaya.
Hiyo namba ya simu unaweka ya nini? Huteuliwi ng'o, Samia hateui washamba kama wewe.Kwani wapi niliandika humu kuwa nimetuma barua ya maombi ya uteuzi wa U DC
Kwani wapi nilishasema nateuliwa.Hiyo namba ya simu unaweka ya nini? Huteuliwi ng'o, Samia hateui washamba kama wewe.
Kwani wapi nilishasema nateuliwa.Hiyo namba ya simu unaweka ya nini? Huteuliwi ng'o, Samia hateui washamba kama wewe.
Kwa swali lako hili ni kama unaona ametekeleza yote. Samia hamna kitu mle, 2025 ccm wakimuweka agombee urais ndo nitaamini ccm haina nia njema na taifa letu.Jibu swali ni jambo gani hajatekeleza? Blaa blaa za chuki zako hazisaidii ,ameangukiwa ndio jibu hapa baada ya kuangukiwa hajatekeleza nini?
Hujajibu swali Kipi Samia hajatekeleza ila unaleta blaa blaa,Chuki imezidi maarifa 😂😂😂😂Kwa swali lako hili ni kama unaona ametekeleza yote. Samia hamna kitu mle, 2025 ccm wakimuweka agombee urais ndo nitaamini ccm haina nia njema na taifa letu.
Anatekeleza mambo marahisi ambayo hata wewe hapo upewe urais leo utayatekeleza.
Kwa Rais Samia hakuna cha jambo gumu wala jepesi maana kagusa kila eneo na kufanya kazi kila sehemu pamoja na kutekeleza kila jambo.hakuna paliposahaulika wala kuachwa nyuma. Hakuna mfupa mgumu mbele ya Rais samia.kavunja mifupa yote iliyoonekana migumu.Kwa swali lako hili ni kama unaona ametekeleza yote. Samia hamna kitu mle, 2025 ccm wakimuweka agombee urais ndo nitaamini ccm haina nia njema na taifa letu.
Anatekeleza mambo marahisi ambayo hata wewe hapo upewe urais leo utayatekeleza.
Huteuliwi ng'o!!!Kwani wapi nilishasema nateuliwa.
Sawa nashukuruHuteuliwi ng'o!!!
Samia ni role model, mengine ni wivu tuu 😁😁Ndugu zangu Watanzania,
Embu niambieni ndugu zangu Watanzania kuwa ni jambo gani ambalo unaweza kusema kuwa Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania mama wa shoka ,jasiri muongoza njia, shujaa wa Afrika na nuru ya wanyonge mh Mama Samia Suluhu Hasssan hajafanya kwa Taifa letu? Kipi ambacho hajagusa? Nini ambacho hajafanya na ambacho kimekuwa kero kwa watanzania? Wapi ambako hajapeleka pesa kwa ajili ya maendeleo? Mkoa upi ambao haujafikiwa na miradi ya Rais Samia?
Niambieni watanzania wenzangu ni jambo gani ambalo watanzania tulihitaji na tulikuwa na kiu nalo na ambalo halijaguswa na Rais wetu? Kundi lipi ambalo halijatendewa haki na Rais wetu? Secta ipi iliyoachwa nyuma? Wapi ambako hakujapelekwa pesa za maendeleo na Rais huyu mcha Mungu ,mchapa kazi, mnyenyekevu, mwenye upendo wa dhati na Taifa letu,mzalendo wa kweli ,akili kubwa na mwenye maono ya mbali?
Nani mwenye afya ya macho na asiye kipofu wa macho na akili hajaona kazi kubwa alizofanya Rais samia kwa Taifa letu? Nani hajaona juhudi za Rais samia? Tunataka Rais Samia afanye nini na kipi ili mioyo yetu iridhike? Changamoto huwa hazikosekani ,lakini je hatuoni juhudi za mama yetu katika kutatua changamoto? Hatuoni mipango mikakati hatua kwa hatua katika kumaliza kero mbalimbali? Hatuoni utayari wake katika kuleta suluhisho la kudumu kwa changamoto mbalimbali? Afanye nini zaidi ya haya afanyayo?
Embu tumuungeni mkono Rais wetu,Tumpe faraja na kumtia moyo, tuendelee kumuombea ili Mungu amlinde,kumpigania na kumtetea dhidi baya lolote, lisiwepo jambo lolote baya litakaloinuka mbele yake.kila mtu kwa imani yake Aendelea kumuombea afya njema na nguvu za kuendelea kututumikia watanzania.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
0742-676627.
Wewe ndio ulichukua huo Mkopo? Kusema kwamba Serikali itakopa ndio kuchukua Mkopo?Mradi wa bonde la mto msimbazi.
Alichukua mkopo bank ya dunia.akasema mradi wa kujenga nyumba 1⁴,000 .utaanza mpaka leo kimyaaaaaaaaaa
Samia ni role model, mengine ni wivu tuu 😁😁
View: https://www.instagram.com/reel/Cyfp9Ktsxg6/?igshid=MTc4MmM1YmI2Ng==
Wewe ndio ulichukua huo Mkopo? Kusema kwamba Serikali itakopa ndio kuchukua Mkopo?
Haya aibika hapa ulipaji fidia umeanza na huo mradi unaanza mwakani mwezi wa 4 👇
View: https://twitter.com/MwananchiNews/status/1714973097323810979?t=PdKBifdeH8DEvVb4e2iQvg&s=19
Wewe ndio ulichukua huo Mkopo? Kusema kwamba Serikali itakopa ndio kuchukua Mkopo?
Haya aibika hapa ulipaji fidia umeanza na huo mradi unaanza mwakani mwezi wa 4 👇
View: https://twitter.com/MwananchiNews/status/1714973097323810979?t=PdKBifdeH8DEvVb4e2iQvg&s=19
Nchi haiwezi kuongozwa na wenye akili za panzi kama yako.Nchi inaongozwa na wenye akili kubwa na maono ya mbali kama Rais Samia mwenye kuona miaka mia mbele.Hii nchi kila mtu anaweza kuongoza kama ndio hivi tunavyoongozwa.
Nchi umeme umedoda afu kuna mtu anahoji. unaakili kweli wewe?
Umeshapima akili za Samia ukaona zinafika miaka mia, uchawa unakuharibu sana wewe.Nchi haiwezi kuongozwa na wenye akili za panzi kama yako.Nchi inaongozwa na wenye akili kubwa na maono ya mbali kama Rais Samia mwenye kuona miaka mia mbele.