Pyaar
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 17,212
- 80,120
Hahahaha!Marwa lodge Pugu kajiungeni
Hivi hii ndo ya yule Afande Mura (R.I.P) Inayosimamiwa na bintiye?
Hahahaha!Marwa lodge Pugu kajiungeni
Iko hapa stand kama unaelekea kisarawe , anyway Sina details sana ila nadhani ndioHahahaha!
Hivi hii ndo ya yule Afande Mura (R.I.P) Inayosimamiwa na bintiye?
Iko hapa stand kama unaelekea kisarawe , anyway Sina details sana ila nadhani ndio
NaamNdiyo yenyewe.
Ingawa humo ndani sijawahi kujua kuko vipi lakini kwa mazingira hayo Ponjoro wa Kinondoni huko hapawezi😁.
Ni uswahilini ingawa ni mafichoni.
Anahitaji sehemu classic.