Absolutely!sie wengine tumeanza kulima,ili kufidia ule uwazi ulioachwa na pesa chafu!Ngoja kwanza watanzania wajefunze maisha halisi kipindi hiki wanayo takakiwa kuishi sio kuishi kwa ujanja ujanja .
Wewe uliwahi kuwona wapi Dunia ya leo watu wanalipa KODI YA NYUMBA kwa mwaka mzima zaid ya Tanzania ...,uliwahi kuona wapi Manunuzi iwe nyumba ,
Au gari za bei kubwa watu wananunu kwa CASH ni Tanzania ...uliwahi kuona wapi manunuz ya nyumba au kodi walio wengi wanataka DOLA baadala ya shiling zaid ya TANZANIA .
Hapo lazima kuna matatizo sio bure.
umesema yote watu kwa jk hawakugusa mishahara ni mwendo wa per diem na pesa za safari, Tender za serikali vya juu vilikuwa vya kutosha. kwa kweli mfumo aliouleta Rais umeshusha ile purchasing power kwa zaidi ya asilimia 50Kuondolewa kwa posho za semina, mambo ya salary increment, kuongezeka kwa umakini kwenye taasisi za umma kama TRA, TPA, kumefamya watu waseme pesa imekuwa ngumu.
Kukosekana kwa masoko ya mazao, ukosefu wa ajira za serekali,kubana matumizi ya serekali, kumefanya watu waseme pesa imekuwa ngumu.
Kwa mtazamo wangu nadhani mabadiliko ya kiuongozi yatasababisha mabadiliko ya sura ya uchumi.Wakati wa JK ilikuwepo dhana ya 'maisha magumu', sasa ni pesa imepotea....baadhi ya watu wanapokea kauli na kuzikuza bila kuangalia uhalisia wake.
Utamkuta mtu maisha yake yapo steady kama miaka ya nyuma ila naye anaimba pesa imepotea.
Band wagon.....kufuata mkumbo tu
Aaaah wapi mimi mambo yanazidi kuwa mazuri.Nawe unaona pesa imekuwa ngumu siku hizi?
Kipato chako kimepungua?
umesema yote watu kwa jk hawakugusa mishahara ni mwendo wa per diem na pesa za safari, Tender za serikali vya juu vilikuwa vya kutosha. kwa kweli mfumo aliouleta Rais umeshusha ile purchasing power kwa zaidi ya asilimia 50
Heshima ipo,tena kubwa!wale vibosile wa t.r.a,t.p.a,b.o.t waliokuwa wanatuibia mademu kwa kuwaonga iphones,ipads,nyumba na vits leo wapo arosto!heshima inasambazwa kama kawa!na mademu wamepunguza nyodo,cause nowdays tuna wascrew hata kwa afu kumi...but during those Kikwete days,dah.!kama huna afu 50,hesabu fedheha!Upo sahihi kabisa.
Wengine na shughuli zetu halali pesa ipo vilevile.... Na matumizi yetu yamebaki vilevile.
Sema kumekua na unafuu mkubwa kwani bidhaa zimeshuka bei sana.
Maisha raha siku hizi na heshima imerudi
Kuna mtu mwingine hata kazi hafanyi wala hajishughulishi na chochote lakini ukimkuta anavyopayuka kuwa pesa hakuna mtaani kumekuwa kugumu hadi unajiuliza hiyo pesa itamfikiaje.
Mie naona wanaolalamika ni wale waliokuwa wamezoea madili so pesa ilikuwepo mda wote sasa baba yetu kabana hizo njia malalamiko ndio yanaendelea kuzidi
Sasa mtu unaomba kazi na kusaini mkataba wa kulipwa 1M (mfano) alafu ukitekeleza majuku yako unataka kulipwa tena? hata posho za wabunge sikubaliani nazo.Watu waliokuwa wamezoea vi trip vya majuu na kupiga per diems lazima walie.
Mazoea huwa ni mabaya sana.
Mkuu,kuna binamu yangu yupo tfda,kuna siku wakati nasubiri matokeo yangu ya chuo mwaka jana,huku nikiwa arosto for days,aliniambia kwa week mbili nisiende popote!nikamuuliza,why?akanijibu kuna semina ya NGO Mmoja ya Uholanzi iliyokuwa inadili na Utafiti na Uboreshaji wa Ulaji wa Chakula cha Asili(organic foodstuffs)!sasa,nikamuuliza tena mie nimesomea beekeeping,mambo ya drugs and food nayawezea wapi!akaniambia wewe utajifanya ni waiter kwenye hotel tunamofanyia semina,na kila siku for the next two weeks utalipwa na serikali 200k!Kuna mtu mwingine hata kazi hafanyi wala hajishughulishi na chochote lakini ukimkuta anavyopayuka kuwa pesa hakuna mtaani kumekuwa kugumu hadi unajiuliza hiyo pesa itamfikiaje.
Mie naona wanaolalamika ni wale waliokuwa wamezoea madili so pesa ilikuwepo mda wote sasa baba yetu kabana hizo njia malalamiko ndio yanaendelea kuzidi
Sasa per diem ni neema na siyo haki....mtu akikosa per diem(neema) asilalamike, ila akikosa mshahara alalamike nami nitamuunga mkono.umesema yote watu kwa jk hawakugusa mishahara ni mwendo wa per diem na pesa za safari, Tender za serikali vya juu vilikuwa vya kutosha. kwa kweli mfumo aliouleta Rais umeshusha ile purchasing power kwa zaidi ya asilimia 50
....Mie siku zote nipo Ikungulyabashashi na huku pesa ni ngumu tokea nianze kupata fahamu.
Siasa Bila Unafiki Haina Ugwadu!Nyani Ngabu we ni double agent??? Nakumbuka kuna uzi ulileta hapa ukiwa unamponda Magufuli kwa kuwakataza wapinzani kufanya mikutano...and here you are again!!!