Arie power
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 2,552
- 1,021
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Angoje trump aingie na yeye aje kulia hapa
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Angoje trump aingie na yeye aje kulia hapa
Mkuu nianze na hili kwanza.Ndo tatizo lenu... unataka kusema hizo meli hewa zilikuwepo kwavile hapakuwa na hiyo VAT?
Kwa sababu na wao kwenye sehemu yao kipato fedha imepungua,,,mkuu kuna sehemu nyingi watu wamepunguzwa kazi ,,jamaa yangu aliajili vijana 6,ila kapunguza hadi kabakiwa na wawili kwa sababu mzunguko kwenye biashara,so tusishadadie tu wakati hata raisi alikili kwamba pesa hakuna mtaaniWell, umeeleza vema. Tunajua pia hakujatokea maafa yakaua watu kwa kiasi cha kutisha. Wateja wako wapo pale pale. Ni kwanini hawatumii kama walivyokuwa wanatumia siku za nyuma?
Ulionekana ikungulyambeshiMie siku zote nipo Ikungulyabashashi na huku pesa ni ngumu tokea nianze kupata fahamu.
sawa sawa, kupunguzwa kazi kwa watu ni kwasababu hakuna uwezo wa kuwalipa.Kwa sababu na wao kwenye sehemu yao kipato fedha imepungua,,,mkuu kuna sehemu nyingi watu wamepunguzwa kazi ,,jamaa yangu aliajili vijana 6,ila kapunguza hadi kabakiwa na wawili kwa sababu mzunguko kwenye biashara,so tusishadadie tu wakati hata raisi alikili kwamba pesa hakuna mtaani
teh teh teh hawachelewi kusema sababu ya VATHili swali nimeuliza sana
Ikiwa wateja ni wale wale wakiwa wameajiriwa kule kule, nini hasa kimetokea hawatumii tena pesa?
Na wanaosema hakuna pesa, wanashauri nini kifanyike irudi mtaani?
Niliowauliza wamekimbia, mbele ya safari wataibuka tena pesa hakuna
Hapa tunachanganya mambo!!! Kuna meli 60 ambazo tunaambiwa zilitoroka bila kulipa kodi... hilo ni jambo moja! Ninachozungumzia mimi ni watu ambao wameacha kutumia bandari baada ya ku-impose VAT kwa Mawakala wa Forodha! Mawakala wa Forodha nao waka-pass VAT Burden kwa waagizaji bidhaa kutoka nje na hivyo kuongeza import costs! Walipoona hivyo, watu wakaacha kutumia Bandari ya Dar es salaam na wakakimbilia kule ambako ama no tax on transit goods au kodi hiyo ni ndogo sana!Mkuu nianze na hili kwanza.
Uhusiano wa VAT na Meli upo na ni wa moja kwa moja.
Wafanyabiasha waliolipa mfano milioni 7 (takribani dola 2000) waliingiza mizigo mingi kupitia 'kwa mtu kariakoo' aliyekuwa na dili na bandari.
Kumbe thamani ya kontena ni milioni 40 sawa na dola 20,000.
Wafanyabiashara iwe wa ndani au jirani walitumia fursa hiyo.
Kukawa na hiyo 'multiplier effect' unayosema ikichagiza 'inflation'
Wameambiwa walipe kiwango halali wanakwenda kwingine ambapo badala ya dola 20,000 wanaweza kulipa 14,000 ikiwa ni mara 2 ya ile ya dili na wao kubaki na 6,000.
Kuondokakunapunguza mizigo na kupungua mizigo kunapunguza meli zinazotia nanga.
Hivyo uhusiano wa VAT na Meli upo
Ninachoweza kukubaliana nawe ni kimoja, kuwa lazima kuangalia masoko mengine na kuifanya bandari iwe competitive na si suala la kusema mameli yasije.
Si suala la kuacha mizigo iingie bila kodi huku wahuni wachache wakitia mifukoni
Morogoro rd, kila baada ya km 2 kuna kituo cha mafuta.
Leo tunajua walikuwa hawalipi kodi kwasababu mita zilizuiwa kufanya kazi, ilikuwa dili tu.
Hiyo ndiyo multiplier effect mnayosema?
Vituo havijaambiwa vifunge, bali vilipe kodi ya bandari. Je, hilo ni baya?
Kuhusu bandiko lako 175 nitarudi tuzungumze
Akina nani ambao unasema kesi zao zipo hatua mbalimbali?! Nitajie mfanyabiashara mmoja manake naona na hapa unataka kuchanganya kati ya wafanyabiashara waliokuwa wanatorosha makontena na akina Masamaki! Nitajie hao wafanyabiashara ambao kesi zao zipo katika hatua mbalimbali!!!!Naongelea upigaji bandarini in general. Kusema wamefanywa nini wakati unajua kesi zao zipo kwenye hatua mbalimbali ni kujitoa ufahamu bila ya sababu. Bakhresa bidhaa zake zilizuiliwa kwa sababu ya issue za kodi mbalimbali.
Kulipa kodi ni suala moja, wafanyabiashara hao hao wanaolipa kodi, kuweza kupatiwa ushirikiano na serikali ni suala jingine.
Mi nadhani wale wezi waliominywa ni kwamba walikuwa wanakuja kutumia mtaani na kufanya mzunguko uongezeke,mfano mtu alikuwa akiiba huko mishahara hewa anaenda bar,kule bar anafanya muuza bia auze bia nyingi na kuajili wafanyakazi wa kutosha.....n.k mi nadhani raisi kwa kuwa kaziba ile mianya ya udokozi wa pesa ambapo hata walala hoi tulikuwa tunafaidi ,basi atafute njia mbadalasawa sawa, kupunguzwa kazi kwa watu ni kwasababu hakuna uwezo wa kuwalipa.
Swali linabaki pale pale, zile pesa zilizowezesha walipwe zilitokana na biashara, sasa kwanini watu hawanunui tena?
Hapa hakuna ushabiki tunaongelea uhalisia.
Kama mfanyakazi aliweza kujenga nyumba na wewe kukupa biashara ya hardware, mfanyakazi huyo katika wadhifa , idara na wizara ile ile nini kinamkwaza?
Pili, kama mzunguko wa pesa umepungua, unashauri nini kifanyike urudi hali ya kawaida?
Katika uchumi ni kawaida kuona uchumi ukidorora na hela kukosekana, kasi ya kupanda bei kupungua au bei kupungua.Na Mimi nauliza tu kaswali kidogo, je kama ni kweli hela imeadimika kwa sababu zozote zile, kwa nini bei haipungui bali inazidi kupanda?
Nadhani chige na juvenile davis watapata majibu hapa. Key words 'the action designed to lower inflation my exacerbate unemployment or vice versa''Katika uchumi ni kawaida kuona uchumi ukidorora na hela kukosekana, kasi ya kupanda bei kupungua au bei kupungua.
Lakini katika miaka ya karibuni kuna kitu kinatokea, wataalamu wanakiita stag-flation.
Stagflation ni muungano wa economic stagnation (which normally comes with deflation) but in this case it comes with inflation.
stag·fla·tion
ˌstaɡˈflāSH(ə)n/
noun
ECONOMICS
persistent high inflation combined with high unemployment and stagnant demand in a country's economy.
Stagflation - Wikipedia, the free encyclopedia
Kaka walipewa grace time na wengi wao walipambana na kutafuta pesa kila walipoweza.Akina nani ambao unasema kesi zao zipo hatua mbalimbali?! Nitajie mfanyabiashara mmoja manake naona na hapa unataka kuchanganya kati ya wafanyabiashara waliokuwa wanatorosha makontena na akina Masamaki! Nitajie hao wafanyabiashara ambao kesi zao zipo katika hatua mbalimbali!!!!
Kuhusu upigaji in general basi hoja ulileta pasipostahili manake mimi nilikuwa nazungumzia suala lingine!!!
Wateja wengi nchi hii ni waajiriwa hasa taasisi za umma. Wafanyakazi taasisi za umma mshahara mdogo walikuwa wanategemea posho za safari etc. Hizo posho ndio zinajenga majumba,zinanunua magari na issue nyingine.Hili swali nimeuliza sana
Ikiwa wateja ni wale wale wakiwa wameajiriwa kule kule, nini hasa kimetokea hawatumii tena pesa?
Na wanaosema hakuna pesa, wanashauri nini kifanyike irudi mtaani?
Niliowauliza wamekimbia, mbele ya safari wataibuka tena pesa hakuna
Naona kiongozi unataka kuhamisha magoli! Hapa tunazungumzia watoroshaji wa makontena na sio watu wa 7 Million kwa dakika! Na wala usidhani nampinga JPM kuwaachia wale watu.... kuna cku hapa niliwahi kuongea kwamba sometimes kwenye masuala ya kiuchumi mtu unatakiwa kuchukua hata maamuzi ya kipum'bavu for the sake of net economic outcome! Kwahiyo ingawaje inaweza kuonekana ni maamuzi ya hovyo kusamehe wakwepa kodi but for the sake of microeconomic sector, ilikuwa ni busara kuwaacha ili waendelee kufanya biz.Kaka walipewa grace time na wengi wao walipambana na kutafuta pesa kila walipoweza.
Wapo wafanyabiashara ndugu yangu usipende sana ligi isiyokuwa na tija kwako wala kwangu.
Yule wa milioni saba kwa kila dakika ambaye yupo chini ya mikono salama, umemsahau?. Na hayupo peke yake mind you. Wote ambao walimtengenezea mazingira ya ukwepaji wa kodi na wao suala zima linawahusu.
Yule wa Arusha umemsahau?, issue hizi hizi za kodi.
Wenye kuhamisha magoli ni wale jamaa wa ufipa na wala sio mimi. Wenye makontena na huyu wa milioni saba kwa dakika na yule wa Arusha wote ni wafanyabiashara. Ukijenga tabia ya kusamehe watu kodi, kuna ambao kwa makusudi kabisa watataka kuwaumiza wanyonge kwa sababu hizo hizo halali za kibiashara.Naona kiongozi unataka kuhamisha magoli! Hapa tunazungumzia watoroshaji wa makontena na sio watu wa 7 Million kwa dakika! Na wala usidhani nampinga JPM kuwaachia wale watu.... kuna cku hapa niliwahi kuongea kwamba sometimes kwenye masuala ya kiuchumi mtu unatakiwa kuchukua hata maamuzi ya kipum'bavu for the sake of net economic outcome! Kwahiyo ingawaje inaweza kuonekana ni maamuzi ya hovyo kusamehe wakwepa kodi but for the sake of microeconomic sector, ilikuwa ni busara kuwaacha ili waendelee kufanya biz.
Mazoea ya kusamehe kodi kivipi?! For what I know hakuna aliyesamehewa kodi bali kulikuwa na wakwepa kodi ambao badala ya kupelekwa mahakamani, waliambiwa walipe pesa wanazodaiwa na yakaisha!Wenye kuhamisha magoli ni wale jamaa wa ufipa na wala sio mimi. Wenye makontena na huyu wa milioni saba kwa dakika na yule wa Arusha wote ni wafanyabiashara. Ukijenga tabia ya kusamehe watu kodi, kuna ambao kwa makusudi kabisa watataka kuwaumiza wanyonge kwa sababu hizo hizo halali za kibiashara.
Lazima uwe ni utamaduni kwa kila mtu kulipa kodi whether biashara zake zina impact kwa micro economic sectors au hazina.
Wanafungwa jela kina Wesley Snipes na wengine maarufu zaidi yake kwa sababu za ukwepaji wa kodi, why hawa wa kwetu wapewe special priorities all the time?.