min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 58,242
- 167,382
Hahahaha bwashee ,usioe kumwonea mwanamke huruma, oa pisi kali na hilo ni tamanio la kila mwanaume timamu 🤔 nyumbu wengi wachukua kanya boya kisa hawana pesa😀😀 Daaa!! Mkuu umenichekesha sana.
So ulikuwa cooling break(Marekani wanasema hydration time)?